Wakuu msaada wa mawazo tafadhari

Wakuu msaada wa mawazo tafadhari

We kimbia mzee nenda zako u boyzn ukachunge mikia.
Halafu mtoto hajawahi kumsahau baba yake atakutafuta tu akishajipata, watoto wana huruma sana na baba zao.

Na kumbuka single maza haolewi na akiolewa hakikisha unajua kaburi halisi la baba wa mtoto.
Na ni marufuku kuhudumia mtoto wa single mama!! na ukihudumia fanya kama unalea yatima.
 
kama unahitaji mfumo wowote; wa shule, biashara , ofisi, Kusimamia duka, studio, basi nipigie hapa 0620224372 au whatsapp.
tembelea tovuti yangu uone mifumo iliyopo tayari BONYEZA HAPA
 
Wakuu salamu....

Moja kwa moja ndani ya mada wakuu.
Kuna mdafa alinipenda sana na mimi nilimpenda, mimi nilizoea kumuita mshangazi sababu kanizidi kama miaka 5 hivi.
Alikuwa na kazi yake na mimi kazi yangu, wakati huo tunaanza dhambi zetu alisisitiza sana kupata mimba huenda likawa janga ila mimi nilimwambia hizo ni baraka mazee.
Sasa kama mwezi wa saba hivi hapo nyuma akaipata kweli kazi akashindwa kufanya kabisa maana ilikuwa ni mimba kisirani inataka kulala tu. sijui ndo nini yaani na mimi mwenyewe gafla boss kawa kapuku kiufupi kapoteza mali zote.
Sasa hapo mzigo mzima ukatua kwangu, gafla wakuu nimepoteza ramani na sina dira mazima hadi nashindwa kuelewa. Hapa nawaza nimtoloke tu huyu mshangazi nisepe zangu ubushini nikachunge tu mikia wakuu.
Mnanishauri nini hapa.
We kibenten Kafanye hiyo kazi yake au na yeye kafkuzwa ?
 
Unasema eti "Hizo ni baraka mazeee!!"

Halafu Sasa unataka kukimbia!

Ulikuwa hujui kwamba watoto ni gharama?

Wewe inastahili utandikwe makofi ya kelbu hadi akili ikukae sawa.
Alikuwa anamzuga mshangazi ili arndelee kupewa k...ma bila kujua mwenzake yupo serious
Sasa kimemlamba anataka kukimbia sio baraka tena
 
Unasema eti "Hizo ni baraka mazeee!!"

Halafu Sasa unataka kukimbia!

Ulikuwa hujui kwamba watoto ni gharama?

Wewe inastahili utandikwe makofi ya kelbu hadi akili ikukae sawa.
Mkuu upo sawa kiupende ni malufuko kapuku kuzalisha kapuku mwingine ila zingatia nilikuwa sawa kiuchumi pindi hizo
 
Back
Top Bottom