Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wewe wake za watu waje kwako wakafundishwe tabia kwa kigezo kipi, nimekujibu hivyo sababu mada ni serious unaleta utoto wa facebook na Twitter
Ni huduma tu mkuu, wewe tuletee mke wake hautajuta. Hata wewe tunakutengeneza tu japo kwa shingo upande
 
Kabla ya kumuoa alikuwa hivyo??
Au ulilazimisha akupende Kwa kuwa ulimuona ni mzuri??

Mwanamke atakayekuheshimu utamuona since day 1 unavyoongea naye au labda uliona ana dharau ukapuuza ukasema atabadilika.

Pole sana
 
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.


Sasa mkuu utasolve vipi kesi kusikiliza upande mmoja?
Kaa chini uongee na mke wako waamuzi wa mwisho ni nyinyi wenyewe.
Halafu ondoa hilo neno tusikurupuke kuoa.
 
Mi nahisi kama ulikosea mzee. Ila haujachelewa. Fanya hivi:

1. Kama umepanga, fanya mchakato siku akienda kwa ndugu zake we HAMA kimya kimya na usimuambie mtu ulipohamia.

2. Akija akute haupo. Akikuuliza kwea simu mwambie umerudi kwa wazazi wako au ndugu yako au rafiki yako.

3. Akija kazini kwako (naamini anapajua), mchenge ila kwako usimpeleke. Hadi ahisi unaishi na mwanamke mwingine.
Sasa mkuu huu ushauri ni mzuri kwa mchumba lakini siyo kwa mke
 
i did it more than once..yaani kila mara nakaa nae chini mkuu..yaani mungu ananiona..ni zaidi ya mara 30 ninamsihi nijue nini shida..na anajibu hamna shida yyte anaomba msamaha napotezea...muda kidgo tu anarudia hayo hayo..Ana mengi mno mkuu..Kusalimia mtihani..mumewe nikiumwa sioni hata hamu ya kunitkia uzima mumewe..ndo kwnz anafnya mambo yake....yaani dah ana mengi sn..nmeanzisha uzi nianglie mawazo yenu
mimi wangu alikuwa kama wako baada ya kupata mchepuko wa cbe kanyooka dawa ya mwanamke ni mwanamke mwingine.
 
Kwanza nikupe pole sijui umeoa kabila gani (samahani lakini ) na umeoa Mji wa namna gani, kuanzia kushika dini, hali ya kiuchumi wazazi wake, yeye mwenyewe Elimu yake, km Kuna ndugu zake waliolewa, na je kalelewa na wazazi wote 2 au na single-mother (rejea mabandiko yangu humu). Hivyo vitu ni muhimu kuvijua.

Pili, kuanza kuomba tendo la ndoa nadhani siyo shida sn nadhani ni tabia ya baadhi ya akina dada either sababu ya aibu au kuona kuwa akikuanza utamuona kicheche. Wapo wanawake wengi tu wenye tabia hiyo, hivyo kwangu mimi hilo hakuna shida sn ingawa wakati mwingine ni wajibu wake pia kukumbushia pindi anapohitaj. Ila km hata unapomkubusha anakupa kwa manati, hiyo siyo sahihi, ni ujeuri.

Tatu, inaonekana huyo mwanamke wewe ndiye una shida naye yeye hakuhitaji kiviiile. Na inaonekana wewe ndiye ulitumia nguvu nyingi kumshawishi umuoe na alikubali kwa sababu anazojua yeye. Km una pesa au umesoma hizo ndiyo sababu.

Nne, hujatuambia km mkeo ulimtoa kijijini au mjini. Wengi wa kijijini wakija mjini mwanzoni huwa na haibu ila akizoea Mji balaa lake ni kubwa sn.

Tano, hujatuambia km mna mtoto au la ili tujue tukushauri vipi. Km hamna mtoto Kuna shida hapo. Yani ulale na mwanamke mara tano akiwa bado mbichi akose mimba?

Mwisho, MKEO siyo riziki, ana anayempenda kwa dhati. Kwa ufupi, kibri chake kinachangiwa na huyo bwana wa nje. Na wewe una miaka 31 unashindwaj kusimama km mwanaume alafu unasema "Kila mara amekuwa anakuaga anaenda kusalimia baba yake" acha ujinga kijana wangu huyo ni mkeo mwenye mamlaka ya kumpa ruhusa ni wewe. Achana na wehu wa mitandaoni wanaosema wao wanatoa tu taarifa kwa wame zao siyo kuomba ruhusa. Umeshamgundua ni jeuri mnyime sasa hizo route zake, huko anaendaga kukutana na bwana yake siyo baba yake.

Alafu mwanaume unawezaj ku-argue na mwanamke kwenye sm namna hiyo. Vijana wa siku hizi hovyo kabisa, kwanini mnataka kuendesha ndoa kizungu. Mnaendesha ndoa km hamjuhi Mila na tamaduni zenu za Kiafrika. Simama imara kijana wangu, ndoa siyo lelemama. Yakikushinda achana naye, huyo ni kichomi kitakutoboa hadi mbavu.
Nanukuu,

"Tano, hujatuambia km mna mtoto au la ili tujue tukushauri vipi. Km hamna mtoto Kuna shida hapo. Yani ulale na mwanamke mara tano akiwa bado mbichi akose mimba?"

Mkuu ki sayansi ni muda wa Mwaka mmoja miezi kumi na mbili ukifanya unprotected sex NDIO mnaweza Anza kuhisi Tatizo la Ugumba......
 
i did it more than once..yaani kila mara nakaa nae chini mkuu..yaani mungu ananiona..ni zaidi ya mara 30 ninamsihi nijue nini shida..na anajibu hamna shida yyte anaomba msamaha napotezea...muda kidgo tu anarudia hayo hayo..Ana mengi mno mkuu..Kusalimia mtihani..mumewe nikiumwa sioni hata hamu ya kunitkia uzima mumewe..ndo kwnz anafnya mambo yake....yaani dah ana mengi sn..nmeanzisha uzi nianglie mawazo yenu
Mkuu mm sijui nipoje watu nilio zaliwa nao tumbo Moja nawapenda sana sanaa....
Mm nimepata mke mwema na hapa nilipo nipo bring bring na nguo viatu cadet na hili shati classic ameninunulia wife WANGU.......

All in all mm nimeoa mwanamke anae nipenda yeye Mimi ni MWANAUME WA NDOTO ZAKE
 
kama huku tu..ndo maana kabla sijaoa akaniahd ataacha mambo yake..Namie nilikua nna kimuhemuhe cha ndoa..nikaweka ndani.

Kumbe red flags alianza kukuonyesha kabla ya ndoa na ukazipuuza,basi pole sana.
Hiyo ahadi ya kubadilika ilikua danganya toto tu maana likuona una hamu na ndoa na yeye pengine alikua anatamani kuitwa mke wa mtu.

Piga chini mkuu,ndoa yafaa nini kama hatoi mbususu?
 
Back
Top Bottom