fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,725
- 2,630
Wakuu mpaka muda naandika thread hii nimejikuta najiuliza kinachonisibu kwa sasa.
Kwanza kabisa neno Ghosting :Ni ile hali ya kukatiza ghafla mawasiliano na mtu bila taarifa wala kumuandaa huyo mtu kisaikolojia.
Tuendele...
Mimi nimekuwa na mahusiano na wanawake ila najikuta nawa-ghost kiasi nimejishtukia na kujiuliza hivi hii hali huwa ni tabia ya kuzaliwa nayo pyschologically au humpata mtu anapopitia tukio kubwa la kuumizwa kihisia?
Maana nikili tu kuwa kuna single mother mmoja nilitokea kumpenda sana ila nilipogundua ameanza mipango mipya na ex baby dady wake tuligombana mno kiasi nilipata shida kumsahau na baada ya hapo nimekuwa na relations ambazo nakata mawasiliano ghafla na bila sababu na mhusika akituma msg au calls sipokei na sijiskii kabisa kuwasiliana naye yani hiyo hali inatokea kbs kipindi nahitaji Kampani kihisia ila ndo nakausha mpka anaacha ninakuja ku-fall kwa mwingine nae baada ya muda inajirudia.
Naamini kuna wajuzi humu au watu wanayopitia hii hali , naamini nitaambulia chochote.
NB: Sifanyi makusudi yani inatokea ghafla na huwa sihitaji kuwasiliana ili hali muda huo nahitaji ushirikiano wake kihisia.
Pia Ku-ghost mtu kwa makusudi ni mbaya maana humuumiza mtu kihisia akiwa anakupenda.