sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Kugawa namba ni asili yake, mbona hata yeye alipoomba namba akapewa hadi akaamua kumuoa, sasa kumuweka ndani isiwe ndo kumyima uhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umemkataza wewe km mumewe mambo ya kugawa namba basi ana shida. Hakuna mke. Inabidi ww km mume uwe na sauti juu yake.. nmekukataza kugawa namba kwa yeyote, na sio ombi. Km anakuheshimu lazima aache. Akishindwa hilo ndoa haiwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app