Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,046
Mpango wangu nataka nimuanzishie dozi ya makofi nione kama itasaidia
Wewe mjinga sana. Hiyo siyo ngoma. Akikushinda mrudishe kwao kwa heshima kama ilivyoenda kumchukua kwa heshima.
Mpango wangu nataka nimuanzishie dozi ya makofi nione kama itasaidia
Lazima nimdunde tu haiwezekani huu upuuzi ufanywe na mke wa kwanguWewe mjinga sana. Hiyo siyo ngoma. Akikushinda mrudishe kwao kwa heshima kama ilivyoenda kumchukua kwa heshima.
Lazima nimdunde tu haiwezekani huu upuuzi ufanywe na mke wa kwangu
Sasa si ukitaje mkuuHapo yawezekana kuna kitu kingine anagawa pia
Mgawo tena au uliaka kimaanisha gawio la makampuni
OK sawa hili liko ndani ya uwezo wanguwe Fanya kumpa mimba #itakusaidia
Yawezekana anagawa na mbunye.Sasa si ukitaje mkuu
Nlimaanisha gawio linalotokana na biashara anayoifanya maana ni nyumba moja mnajenga, sasa kama anafanya biashara inabidi achangie nyumbaniMgawo tena au uliaka kimaanisha gawio la makampuni
Ntakutukana mkubwaNlimaanisha gawio linalotokana na biashara anayoifanya maana ni nyumba moja mnajenga, sasa kama anafanya biashara inabidi achangie nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa uchochezi unaingiaje humu kwenye jukwaa la mahusianoUchochezi!![]()
Biashara ya kugawa namba auNlimaanisha gawio linalotokana na biashara anayoifanya maana ni nyumba moja mnajenga, sasa kama anafanya biashara inabidi achangie nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameona anaishi na kaka yake.Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka
Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba yake ya simu
Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli inanikela sana na naona asipoiacha naweza kufanya kama alivyofanya STAMINA
Tuwekee picha yake tumthaminise kwanza!
Kugawa namba siyo tatizo, hata nida wanagawa namba.
Mpango wangu nataka nimuanzishie dozi ya makofi nione kama itasaidia


aisee