Mahenye
Member
- Jan 14, 2020
- 22
- 8
Huna mke mke hapo ndugu.maana mwanamke aliyoko kwenye ndoa ni kosa kubwa kugawa namba hovyo au ni mfanya biashar anawapa namba wafanya biashar wenzie??Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka
Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba yake ya simu
Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli inanikela sana na naona asipoiacha naweza kufanya kama alivyofanya STAMINA
Sent using Jamii Forums mobile app