Wakuu kweli hapa nina mke ?

Wakuu kweli hapa nina mke ?

Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka

Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba yake ya simu

Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli inanikela sana na naona asipoiacha naweza kufanya kama alivyofanya STAMINA
Inawezekana alikuwa mtu wa kufungiwa sana ndani.Sasa amekutana na mambo mageni "nje"!Mchunguze na umrekebishe kwa staha kile unachodhani ni kero kwako.Be gentle,buddy!Tumia akili na ujanja si amri na mabezo.Safari njema!😂
 
Back
Top Bottom