Wakuu kweli hapa nina mke ?

Wakuu kweli hapa nina mke ?

Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka

Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba yake ya simu

Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli inanikela sana na naona asipoiacha naweza kufanya kama alivyofanya STAMINA
huyo sio demu ni m-pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni CHAWOTE......!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejikuta tu roho inaniumwa ghafla!mkuu, mimi kama Kilwa94 niliyewahi kupitia huu ujinga, nakwambia piga chini huyo demu..jamaa wanamvua 'chupyi' mkeo pasi nawe kufahamu.

5/5
 
Back
Top Bottom