Wakuu Kwanini ufanye mauaji/kujiua kisa uchi. WHY?

Wakuu Kwanini ufanye mauaji/kujiua kisa uchi. WHY?

Hawawaelewi wachungaji wataelewa jamii forum! Nilishakataa huo ujinga at all, hakuna papuchi itazidi uhai wangu au wapate mtu mwingine. Tumezinguana pita kule maisha bado yapo.
Good.
 
Ni ujinga mtupu, kujitundika kisa hizi mambo. unajiua utafikiri uliweka order kwa wazazi wake, kuwa akizaliwa tu ni wako milele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom