Wakuu kuna member humu kawa adimu! Yu wapi?

Wakuu kuna member humu kawa adimu! Yu wapi?

Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na mikwala yake, wajanja wamepindua meza!
mambo ya elimu ya faraqi
Machawa wengi ni toilet pepa au ndomu,wakishatumika wanatupwa shimo la choo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom