Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?

Hujaona box la simu hapo mezani? Anamfanyia setting ya simu mama muuza. Au umesahau CV zimeondolewa kwenye tovuti?
 
Huyo si unaona hana kiuno ni sawa kukaa hivo, muhimu ni ikiwa mazungumzo yao yalikuwa na manufaa kwa nchi
 
Yaani ikulu ya watu 60 jitu linakalisha kitmbi hivi😂😂✋ Tz twafa... Wakat huo majaliwa ananyenyekea mpk na magoti😂😂
 
Mi napiga mistari kabisaaa!

"You know madam you're still young and beautiful!,you know when I sleep I feel like you're there,so beautiful!come close,fogert about the throne ,look at me dont you see am your honey and I can collect much votes and win the comming no reform no election!!?

Aiseh nitachezea virungu Hadi nikome!!Run my friend run!

Nawaza !jamaa alivyojiachia!!
 
Inaonekana kama walikuwa anafanya.siyo kwa makao huo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…