Ikulu imejaa wahuni
Kwanza ungetueleza huyo ni nani ndiyo tuanzie hapo! Lakini sasa hivi wacha tukulaumu tu, wewe unaona kabisa jamaa hilo tumbo lote hilo atakaaje sasa?
Hovyo kabisa
Kaka tupo na wewe mpaka mwakani uhame nchi🤣Duh Ikulu Kama baa
Hii picha walitakiwa wapige wakiwa sebuleni. Na siyo sehemu ambayo ni rasmi, huku kukiwa na bendera mbili muhimu. Picha ya aina hii inaonesha dharau kwa wananchi. Maana yake nchi haina Rais/Rais amewekwa mfukoni na Wahuni.
Bora baa ikulu kama danguro😁😁😁Duh Ikulu Kama baa
Nawashauri ukiwa na kitambi tafuta mpenzi ambaye hana kitambi... Ona sasa hii ni nini?😁
Halisi hiyo kakaHii ni picha ya ukweli?
Au mambo ya Gez
Mwamba huyu hapa:Hii ni picha ya ukweli?
Au mambo ya Gez