Wakuu huyu ni nani? Alikuwa anavaa sare za chama lakini sasa yupo na Rais

Watz mnaenda mbali hadi sasa mnataka idara katika kutekeleza majukumu yake wasivae nguo flani? Kuna kitu kinaitwa "kamoflaji" au kuendana na mazingira kwa lugha rahisi.
 
Mkuu huyo ni Detail Leader wa Presidential Security Unit, Wapo DL kama watatu ivi ambao frequently huambatana na Raisi, Jamaa ndio anaongoza Unit nzima ya walinzi wa Raisi wale wanao onekana na wasio onekana Mara nyingi huwa mkono wa kushoto wa Raisi na Mara nyingi kama sio zote Kiusalama anapaswa kuvaa nguo za kufanana Na Raisi,Wapishane kidogo tu kama rangi ya Tai au ki icon cha president Standard kama Raisi atapenda kukiweka Juu ya koti la suti kushoto, Hon JPM yeye naona anapendelea zaidi ki icon cha Bara la africa
Barikiwa Mkuu kwa ufafanuzi huu..
Mwenye kuelewa na aelewe.
 
Mkuu huyo ni Detail Leader wa Presidential Security Unit, Wapo DL kama watatu ivi ambao frequently huambatana na Raisi, Jamaa ndio anaongoza Unit nzima ya walinzi wa Raisi wale wanao onekana na wasio onekana Mara nyingi huwa mkono wa kushoto wa Raisi na Mara nyingi kama sio zote Kiusalama anapaswa kuvaa nguo za kufanana Na Raisi,Wapishane kidogo tu kama rangi ya Tai au ki icon cha president Standard kama Raisi atapenda kukiweka Juu ya koti la suti kushoto, Hon JPM yeye naona anapendelea zaidi ki icon cha Bara la africa
naona baada ya kupitishwa na chama direct JPM akakabidhiwa huyo jamaa
 
Hivi Hashimu Rugwe alikuwa na walinzi ?

21a4fa5fc28f8f2717c0c321a70f70ab.jpg
 
Ni hivi, mgombea wa Urais anaepitishwa na Chama Tawala anakuwa pia amepata endorsement ya TISS kwamba anafaa.

Hivyo, anakuwa spotted na TISS pia na Wanakuwa na wajibu wa kuhakikisha usalama wake from that moment. Ndiyo maana uliona hilo la huyo jamaa.

Kwamba TISS ni CCM? Ki ilivyo mbele ya TISS wagombea wote ni SAwa labda mgombea yule anapotaka kuongeza Term bado anakua ni rasi hapo TISS wanamlinada kama ni rais .Otherwise wagombea wote wakati wa kupitishwa na vyama vyao TISS hawatakiwi kua na ubaguzi.
 
Back
Top Bottom