Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Kinachonishangaza ni Kuvaa sare za Chama cha Mapinduzi kipindi chote cha Kampeni lakini sasa hivi pia anaonekana yupo na Mkemia.
Okay wakuu kuna Mmoja anajihusisha sana na Ugeni wa Kimataifa na Huyo Black anajihusisha na Local guests au ziara ya hapa TZ
Okay wakuu kuna Mmoja anajihusisha sana na Ugeni wa Kimataifa na Huyo Black anajihusisha na Local guests au ziara ya hapa TZ