Mugacherere
Member
- Jan 28, 2019
- 88
- 84
Amo
Sifaham vizur sifa za kusoma AMO..nachokifaham kwa ushahidi usio na shaka na kwa halali, CO certifate yaweza tumika kuomba admission MD programme na ukapata.Wakuu tusaidiane inasemekana kozi ya Advanced medical officer AMO imefutwa hvyo inapelekea Ma CO kutojiendeleza mpaka MD na kuifanya kozi ya chuo clinical medicine kuwa na mwisho.Tusaidiane wakuu kuhusu ukweli wa mada hii
Lazima u-factor in ufaulu wa form 4. Passes 5 na kati ya hizo kwenye PCB ufaulu wa chini uwe D C C kwa mtiririko wake. Halafu unaongeza GPA 3.5 ya Ordinary Diploma ya CO.
Punguza ubishe tafuta tcu Guidebook ya 2018/2019.Mm nachojua CO akiwa na GPA ya 3.5
Na akiwa amesoma advanced secondary school
Anasoma MD.
Labda kama itafutwa mwaka ujao sio huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama ulisoma na d 4 then baadae uka risit ukapata hizo credit za biology na chemistry una pata hyo MDYote yanawezekana, kwenda ama kutokwenda.
Changamoto kubwa ni utofauti wa viwango vya udahili vya TCU kwa ngazi ya shahada na NACTE kwa ngazi ya Stashahada na Astashahada.
Upande wa NACTE, ili uweze kudahiliwa kusoma Stashahada ya Utatibu viwango vya chini ni angalau D 4 na ili kuweza kusoma MD kulingana na miongozo ya TCU ni lazima uwe na C 2 kwenye masomo ya Biolojia na Kemia na angalau D kwenye Fizikia na uwe na GPA ya 3.5 na kuendelea
Kwa vigezo hivyo inaonyesha kwamba, kama utadahiliwa kusoma Stashahada kwa kuwa una D 4 basi hata ukiwa na GPA ya 3.5 hutoweza kusoma MD lakini kama utadahiliwa kusoma Stashahada ukiwa na vigezo vya juu zaidi ya hizo D kwa maana uwe na C zote utaweza kusoma MD.
NB. Kuwa na hivyo vigezo haikupi uhakika wa kusoma MD kwa maana kunakuwa na ushindani mkubwa wa nafasi katika vyuo vyetu vikuu hususani kwa waombaji kutokea Diploma.
Tafsiri ya kureaseat na kupata inamaanisha vigezo unavyo.Je kama ulisoma na d 4 then baadae uka risit ukapata hizo credit za biology na chemistry una pata hyo MD
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafsiri ya kureaseat na kupata inamaanisha vigezo unavyo.
Piga shule kijana. Pambania ndoto zako.
Piga shule mzee.Ila take home Serikalini haizidi milioni unless kama umejisomesha
Chilonge:Yote yanawezekana,kwenda ama kutokwenda.Yote yanawezekana, kwenda ama kutokwenda.
Changamoto kubwa ni utofauti wa viwango vya udahili vya TCU kwa ngazi ya shahada na NACTE kwa ngazi ya Stashahada na Astashahada.
Upande wa NACTE, ili uweze kudahiliwa kusoma Stashahada ya Utatibu viwango vya chini ni angalau D 4 na ili kuweza kusoma MD kulingana na miongozo ya TCU ni lazima uwe na C 2 kwenye masomo ya Biolojia na Kemia na angalau D kwenye Fizikia na uwe na GPA ya 3.5 na kuendelea
Kwa vigezo hivyo inaonyesha kwamba, kama utadahiliwa kusoma Stashahada kwa kuwa una D 4 basi hata ukiwa na GPA ya 3.5 hutoweza kusoma MD lakini kama utadahiliwa kusoma Stashahada ukiwa na vigezo vya juu zaidi ya hizo D kwa maana uwe na C zote utaweza kusoma MD.
NB. Kuwa na hivyo vigezo haikupi uhakika wa kusoma MD kwa maana kunakuwa na ushindani mkubwa wa nafasi katika vyuo vyetu vikuu hususani kwa waombaji kutokea Diploma.
Minimum qualifications ni C 2 na atleast D ya Fizikia. Kama una C D B ugumu utakuwepo kwasababu huna C ya Kemia.Chilonge:Yote yanawezekana,kwenda ama kutokwenda.
So mkuu kwa yule ambae yuko mwaka wa pili (clinical medicine),
, na aliingia kusoma CO kwa kuzingatia izo D's 4 (ingawa ufaulu wake PCB form four ulikuwa CDB respectful) na ana ndoto za kwenda MD ,,unataka kunambia kuwa ANAPOTEZA MUDA WAKEE(kwa maana hatokwenda MD) ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,,Minimum qualifications ni C 2 na atleast D ya Fizikia. Kama una C D B ugumu utakuwepo kwasababu huna C ya Kemia.
Wanaohitimu kidato cha 6 kwasasa inawawia vigumu wote kusoma MD kwasababu ya kukosa C kwenye either Kemia au Biolojia.
Hta hvyo naunga unga et najipgsh skur mwnywePiga shule mzee.Ila take home Serikalini haizidi milioni unless kama umejisomesha
Sent using Jamii Forums mobile app