Hii ni kweli wakuu au ni utapeli mpya mjini

captain 21

JF-Expert Member
Mar 27, 2021
583
1,182
Mambo vipi wakuu! Ni kama wiki mbili sasa nimekua nikikutana na hii ishu kwenye mitandao ya kijamii hasa Facebook leo nimeona ngoja niwashirikishe na wadau wa JF. Vipi wakuu hii ishu ni kweli au ndio ukibofya link tu umekwishaa!!
tmp-cam-1694861098318598031.jpg
 
Ingekuwa kweli usingeambiwa hata kidogo maana binadamu tuna roho ya ubinafsi sana ndiyo maana hautakuta hata siku moja kwenye makanisa au misikiti unatangaziwa nafasi za kazi zilizotangazwa ,wanakwambia tu toa zaka ili uende mbinguni ,mbinguni kuna raha na vitu vizuri sana kuliko vya duniani ,sasa kama kwenye raha unaambiwa inakuwaje mambo ya duniani ambayo ni madogo tu hauambiwi? Hao washehe na wachungaji wanaamasisha hivyo kwasababu na wenyewe hawana uhakika papoje lakini wangekuwa wanajua 100% kulivyo wasingekwambia.
 
Back
Top Bottom