Tetesi: Wakuu hivi ni kweli Clinical officerCO hawezi kujiendeleza mpaka kuwa Medical doctorMD

Sep 6, 2018
43
125
Wakuu tusaidiane inasemekana kozi ya Advanced medical officer AMO imefutwa hvyo inapelekea Ma CO kutojiendeleza mpaka MD na kuifanya kozi ya chuo clinical medicine kuwa na mwisho.Tusaidiane wakuu kuhusu ukweli wa mada hii
Sifaham vizur sifa za kusoma AMO..nachokifaham kwa ushahidi usio na shaka na kwa halali, CO certifate yaweza tumika kuomba admission MD programme na ukapata.
 
chilonge

JF-Expert Member
Dec 23, 2014
888
1,000
Yote yanawezekana, kwenda ama kutokwenda.
Changamoto kubwa ni utofauti wa viwango vya udahili vya TCU kwa ngazi ya shahada na NACTE kwa ngazi ya Stashahada na Astashahada.

Upande wa NACTE, ili uweze kudahiliwa kusoma Stashahada ya Utatibu viwango vya chini ni angalau D 4 na ili kuweza kusoma MD kulingana na miongozo ya TCU ni lazima uwe na C 2 kwenye masomo ya Biolojia na Kemia na angalau D kwenye Fizikia na uwe na GPA ya 3.5 na kuendelea

Kwa vigezo hivyo inaonyesha kwamba, kama utadahiliwa kusoma Stashahada kwa kuwa una D 4 basi hata ukiwa na GPA ya 3.5 hutoweza kusoma MD lakini kama utadahiliwa kusoma Stashahada ukiwa na vigezo vya juu zaidi ya hizo D kwa maana uwe na C zote utaweza kusoma MD.

NB. Kuwa na hivyo vigezo haikupi uhakika wa kusoma MD kwa maana kunakuwa na ushindani mkubwa wa nafasi katika vyuo vyetu vikuu hususani kwa waombaji kutokea Diploma.
 
pilyy

Member
Feb 22, 2018
94
95

Je kama ulisoma na d 4 then baadae uka risit ukapata hizo credit za biology na chemistry una pata hyo MD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Devoo

Senior Member
Jun 2, 2018
115
250
Yote yanawezekana, kwenda ama kutokwenda.
Changamoto kubwa ni utofauti wa viwango vya udahili vya TCU kwa ngazi ya shahada na NACTE kwa ngazi ya Stashahada na Astashahada.

Upande wa NACTE, ili uweze kudahiliwa kusoma Stashahada ya Utatibu viwango vya chini ni angalau D 4 na ili kuweza kusoma MD kulingana na miongozo ya TCU ni lazima uwe na C 2 kwenye masomo ya Biolojia na Kemia na angalau D kwenye Fizikia na uwe na GPA ya 3.5 na kuendelea

Kwa vigezo hivyo inaonyesha kwamba, kama utadahiliwa kusoma Stashahada kwa kuwa una D 4 basi hata ukiwa na GPA ya 3.5 hutoweza kusoma MD lakini kama utadahiliwa kusoma Stashahada ukiwa na vigezo vya juu zaidi ya hizo D kwa maana uwe na C zote utaweza kusoma MD.

NB. Kuwa na hivyo vigezo haikupi uhakika wa kusoma MD kwa maana kunakuwa na ushindani mkubwa wa nafasi katika vyuo vyetu vikuu hususani kwa waombaji kutokea Diploma.
Chilonge:Yote yanawezekana,kwenda ama kutokwenda.
So mkuu kwa yule ambae yuko mwaka wa pili (clinical medicine),
, na aliingia kusoma CO kwa kuzingatia izo D's 4 (ingawa ufaulu wake PCB form four ulikuwa CDB respectful) na ana ndoto za kwenda MD ,,unataka kunambia kuwa ANAPOTEZA MUDA WAKEE(kwa maana hatokwenda MD) ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chilonge

JF-Expert Member
Dec 23, 2014
888
1,000
Chilonge:Yote yanawezekana,kwenda ama kutokwenda.
So mkuu kwa yule ambae yuko mwaka wa pili (clinical medicine),
, na aliingia kusoma CO kwa kuzingatia izo D's 4 (ingawa ufaulu wake PCB form four ulikuwa CDB respectful) na ana ndoto za kwenda MD ,,unataka kunambia kuwa ANAPOTEZA MUDA WAKEE(kwa maana hatokwenda MD) ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Minimum qualifications ni C 2 na atleast D ya Fizikia. Kama una C D B ugumu utakuwepo kwasababu huna C ya Kemia.
Wanaohitimu kidato cha 6 kwasasa inawawia vigumu wote kusoma MD kwasababu ya kukosa C kwenye either Kemia au Biolojia.
 
Devoo

Senior Member
Jun 2, 2018
115
250
Minimum qualifications ni C 2 na atleast D ya Fizikia. Kama una C D B ugumu utakuwepo kwasababu huna C ya Kemia.
Wanaohitimu kidato cha 6 kwasasa inawawia vigumu wote kusoma MD kwasababu ya kukosa C kwenye either Kemia au Biolojia.
Sawa mkuu,,

Ungependa kutoa ushauri gani,,, maana ingependeza sana kufika MD uko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom