Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Ina tatizo kwa izo equivalent huwezi kupata chini ya 700k na maanisha laki Saba Tena used hapo ni parefu mno ...Kuna mahali Kuna danger haswa betri
Hata mimi nahisi pc hiyo itakuwa na shida sehemu pengine betry haikai na charge kabisa au shida nyingine maana hiyo bei inashangaza