Wakuu hapa kuna mimba?

Jiandae kuchukiwa maana mimba zina kisirani chake, wengi wamekuwa single mama sababu akipata mimba anamchukia sana baba kijacho mara anampenda so kama una hasira unamkataa mazima
Hivi huwa n kwanini
 
Manamiaka mingapi?
 
Kama March 22 ndio ilikua tarehe yake ya mwisho ya period na mkakutana tarehe 1 ama 2, maana yake mmekutana nae siku ya 14 ama 15 baada ya period, hapa likelihood ama chances ya kupata mimba zaidi ya 90%.

Hongera sana baba kijacho.
Tena ka baby girl kama alipiga cha mende, kama alipiga doggy cha kwanza kuna possibility ya dume [emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…