Wakuu hapa kuna mimba?

Wakuu hapa kuna mimba?

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
45,030
Reaction score
111,617
Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.

Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.

22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.

Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuingia hedhi.

Pia naomba elimu kuhusu kalenda ya uzazi wa mpango.
Screenshot_20250426_021155.JPG
 
Kama March 22 ndio ilikua tarehe yake ya mwisho ya period na mkakutana tarehe 1 ama 2, maana yake mmekutana nae siku ya 14 ama 15 baada ya period, hapa likelihood ama chances ya kupata mimba zaidi ya 90%.

Hongera sana baba kijacho.
March 22 ilikuwa siku ya kwanza ya period yake ya mwisho.

Sijui nipokee hongera yako mkuu, natamani aingie hedhi.
 
March 22 ilikuwa siku ya kwanza ya period yake ya mwisho.

Sijui nipokee hongera yako mkuu, natamani aingie hedhi.
Kama March 22 ndio ilikua siku yake ya kwanza maana yake mmekutana siku kati ya 11 na 13, uwezekano wa kupata mimba ni zaidi ya 80%.

Mkuu jiandae kua baba, December ama January 2026 uko baba.

Najua kwa nini unatamani aone siku zake 😂.
 
Back
Top Bottom