Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani.

View: https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282

Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais .

Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman, Unapigwa simu kutoka Kwa Rais ,"Weeee weeee".

Kwa Lugha nyingine, Viongozi baadhi waandamizi wa Dola, wamechoka nahúu Uhuni wa Samia na Genge lake !!.

Kuna MTU atarudi Mavumbini hata Kwa kulazimishwa.
 
Halafu kanisa Katoliki kwanini limenyamazia jambo hili?
 
Muhusika wa padri kitima
download (2).jpeg
 
Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani.

View: https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282

Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais .

Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman, Unapigwa simu kutoka Kwa Rais ,"Weeee weeee".

Kwa Lugha nyingine, Viongozi baadhi waandamizi wa Dola, wamechoka nahúu Uhuni wa Samia na Genge lake !!.

Kuna MTU atarudi Mavumbini hata Kwa kulazimishwa.

Nasisitiza na nitazidi kusisitiza Mkwe na Mkwewe ndiyo VINARA ya huu uhuni.
Mbeya baada ya Mchengerwa kuhutubia na kuondoka - Mdude alitoweka

Watu wakavunjwa miguu

Jana kasisitiza siyo kijana, siyo mzee, yoyote yule atashughulikiwa. Si umeone Warioba alivyojibiwa? Afadhali akae kimya

Sasa Gwajima kajitokeza tuone jee hakuna mtu yupo nyuma yake kutaka kujipima na kujua hiyo nguvu ipo wapi?
 
Back
Top Bottom