Wakuu ajira za polisi zinatoka lini?

Wakuu ajira za polisi zinatoka lini?

Dah fact kaka nimeelewa
Ila kaka kwenye interview level ya mkoa nimefika mara nne
Majina ambayo yanatumwa kureport CCP ni majina ya watu ambao hata kwenye interview hawapo

Na nina 30 this is my last opportunity for this year ndio maana nataka kutoa chochote maana nishaomba sana Mungu hakuna kitu mkuu

Sio kama napenda kufanya kosa but uhalisia kama huna connection ya uhakika kupata ni ngumu kaka
 
mie mtiziii nimepata mboona , sema natapanga mambo kimya kimya kama Rambo au James Bond ama Jason Bourne, niwarudishie nchi lenu
Screenshot_20250822-182432.png
 
Ila kaka kwenye interview level ya mkoa nimefika mara nne
Majina ambayo yanatumwa kureport CCP ni majina ya watu ambao hata kwenye interview hawapo

Na nina 30 this is my last opportunity for this year ndio maana nataka kutoa chochote maana nishaomba sana Mungu hakuna kitu mkuu

Sio kama napenda kufanya kosa but uhalisia kama huna connection ya uhakika kupata ni ngumu kaka
Hiyo pesa kafuge NGURUWE wakifika 1000

Nambie nikupe soko la uhakika
 
Kijana wewe bado hujafunguka akili haaaahaa 😁

Bado sana upo kwenye UJITUKABEJA

POLE SANAAAAAA.

SISI WENGINE TUMESHA FANYA IZO KAZI NA TUKAONA SIO KAZI ZA WATU WENYE IQ

Jambo afande
Wazi afande

Nimepigiwa sana saluti na kuitwa AFISA yaah mpaka barabarani napigiwa saluti popote nilipo kua mpaka Leo vijana BAADHI Huwa wananiita afisaaa

Issue za kushika BUNDUKI juani kikakamavu sijui mambo ya majeshi utanidanganya nini

Mimi ndio nilikua nakaa na ROASTER book napanga Malindo yotee... Askari walio wengi ni WALEVI sanaaaaaa

Jikite kwenye kilimo 😁 😂 ndugu yangu na ufugaji wa kisasa
 
ungevumilia kidogo huenda ungekuwa CP kama mimi 😅😅
 
Back
Top Bottom