Wakurya ni mwendo wa mimba tu

Wakurya ni mwendo wa mimba tu

nimekuja besti, unajua mapenzi ni tekniks wala sio kabila la mtu!

kama ni hasira ama weakness, hakuna kabila ambalo liko perfect 24 hours.

trust me, hata hao wahindi wanaojua mapenzi, leo hii wanabakana na kuning'inizana juu ya miti,

sembuse mi mkurya kusemwa eti kisa nina hasira, hizo ni defence mechanisms tu za kutomtaka mtu..

ni hayo tu madam sir.
hi baba mwita!mith uuu!
 
hahahaaaa!!! lugha gongana!

hivi kuna wangurimi humu?

cc Kwetu Ngoreme
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom