Wakurya ni mwendo wa mimba tu

Wakurya ni mwendo wa mimba tu

Wakurya tumekuwa tunyanyasika sana tunapoenda kutambulisha na wachumba zetu wa makabila tofauti hadi kufikia kukataliwa kuoa kwa sababu ya kabila letu.

Imenitokea mimi na ndugu zangu wengi kwa unyanyasaji huu natoa wito kwa wakurya wote kupiga mimba kwanza kabla ya kwenda kutambulishwa.

Nenda jeshin utakuta mmejazana kisi kwamba jeshi linaweza kuamlishwa kwa kikurya.. mf. MURAAAAA TEMBEA...
au magetaaaaaaaaaaaa geuka.. Chachaaaaaaa kimbia
 
[QUOTE=Bulldog;Unazaliwa kwenye ukoo wa vita na hasira
Bora uzaliwe kwenye koo za pesa

Siyo kweli Bulldog,siku hizi hasira za wakurya zimeelekezwa kwenye pesa,mfano jijini Mwanza wamedhibiti kuanzia makoroboi hadi liberty wakifanya biashara ndogondogo na kubwa kabisa.upande wa elimu pia hawajalala kwani vyuo vikuu wamejaa tele na tukirudi kwenye mahaba wanaume wa kikurya wanapendwa sana na mabinti kwani wanakuwa na uhakika wa kupata kitu kisicho na govi.nda!
 
Kama ni mkurya wa tarime sikubali hata akipigwa mimba,
 
Wakurya tumekuwa tunyanyasika sana tunapoenda kutambulisha na wachumba zetu wa makabila tofauti hadi kufikia kukataliwa kuoa kwa sababu ya kabila letu.

Imenitokea mimi na ndugu zangu wengi kwa unyanyasaji huu natoa wito kwa wakurya wote kupiga mimba kwanza kabla ya kwenda kutambulishwa.

Hatujawatuma watoto wenu watupende.

Acha usenge wewe! mimba kwanza..??
 
Hujui tu wasichana wengi wanawapenda sana wakurya na sababu kubwa ni misimamo na ungangari wao nadhani hata kitandani wako vizuri

Kitandani wako vizuri usiskie ila me nishawai kula kibao katikati ya shughuli "eti nikae vizuri" duh stimu ilikata hapo hapo...kila nikikumbuka sina hamu nao!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kwa mfano TARIME UNITED ingepelekwa kombe la dunia lazima kombe lingerudi TANZANIA kwa namna yoyote ile either washinde ama washindwe
 
Tatizo Kurya pipo ni Washamba saaaana!&@#
 
Hawali mchele hao akukunja utaipata hao mabinti wanaolalamika humu kuwa hawapati kukujoleshwa wakati wa kugegedwa wajaribu kwa wakurya

Kitandani wako vizuri usiskie ila me nishawai kula kibao katikati ya shughuli "eti nikae vizuri" duh stimu ilikata hapo hapo...kila nikikumbuka sina hamu nao!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Excel njoo usikie!!!

nimekuja besti, unajua mapenzi ni tekniks wala sio kabila la mtu!

kama ni hasira ama weakness, hakuna kabila ambalo liko perfect 24 hours.

trust me, hata hao wahindi wanaojua mapenzi, leo hii wanabakana na kuning'inizana juu ya miti,

sembuse mi mkurya kusemwa eti kisa nina hasira, hizo ni defence mechanisms tu za kutomtaka mtu..

ni hayo tu madam sir.
 
Back
Top Bottom