Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Cha kushangaza mnavokimbilia uchagani sasa! Ni ili ku punguza makali ya rangi au?
Nani kakudanganya wakurya hatuna rangi!!tuna warembo bwana,pia hatufuati rangi wachaga nowdays wanajua na wanapenda wanaume ngangari,ngoja nikunong'oneze usimwambie mtu ok,wanatulove wenyewe.