jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 611
bukoba si aliondolewa? kwani alieletwa nae jipu?Aanze na manispaa ya Bukoba, hawajielewi

Taarifa zao zimeifikia Mamlaka ya Uteuzi kuhusu huo ujinga wanaoufanya na kuacha kushughulikia masuala ya Wananchi.Hapa Kahama
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji bw. Anderson pamoja na Mkuu wa Wilaya bw. Fadhili wapo ktk Ugomvi mkubwa kisa wanagombea Msichana
Mhhh, Too generalZipo tetesi kwamba hawa wakurugenzi wa halmashauri,miji ,manispaa na majiji walipewa mikataba ya miaka miwili na mikataba yao imeisha juni 30 2018.
Wapo baadhi yao wameonyesha udhaifu wa hali ya juu katika kusimamia shughuri za serikali, wameshindwa kusimamia miradi ya maendeleo, wengine walevi , wengine kazi yao kujisifu tu , wengine wameshindwa hata kufikia 40% ya makusanyo ya mapato ya ndani, wengine hawapeleki fedha za vijana na wanawake, wengine wevi, wengine wamejilipa posho siku 400 wakati mwaka una siku 365, wengine kazi yao kununua ardhi za watu kana kwamba waliambiwa wakawe wawekezaji . wengine miji yao michafu, wengine wamekuwa watu wa migogoro na madiwani, wengine hawakai vituoni , wengine wababe na wengine wanafanya kazi kwa mazoea.
Je ungependa mkurugenzi wako arudi. au atumbuliwe tu kwa sababu hana faida, au ahamishwe.
Hahahaha......aisee una utani sana! Kahama nzima msichana ni moja kiasi cha kugombaniwa na hao vigogo? Huyo binti anamtaka nani kati ya DC na DED? Tuwekee picha ya huyo mrembo tafadhali....Hapa Kahama
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji bw. Anderson pamoja na Mkuu wa Wilaya bw. Fadhili wapo ktk Ugomvi mkubwa kisa wanagombea Msichana
Anatakiwa kupeleka mtu wa kazi pale make kuna miungu watu idara zote isipokuwa idara ya afya ndo iko smart. Anatakiwa kuanza na ya ujenzi na miundombinu huko ndo kumejaa uswahiba wa kutishabukoba si aliondolewa? kwani alieletwa nae jipu?
DC tumeshamtoa tayariHahahaha......aisee una utani sana! Kahama nzima msichana ni moja kiasi cha kugombaniwa na hao vigogo? Huyo binti anamtaka nani kati ya DC na DED? Tuwekee picha ya huyo mrembo tafadhali....
SawaAnatakiwa kupeleka mtu wa kazi pale make kuna miungu watu idara zote isipokuwa idara ya afya ndo iko smart. Anatakiwa kuanza na ya ujenzi na miundombinu huko ndo kumejaa uswahiba wa kutisha
Tumeanza na DCHapa Kahama
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji bw. Anderson pamoja na Mkuu wa Wilaya bw. Fadhili wapo ktk Ugomvi mkubwa kisa wanagombea Msichana
Mkuu Ibesa Mau nashauri mrudi kwenye utaratibu wa zamani. Nakumbuka Mwalimu Nyerere alipoanzisha cheo cha RDD aliteua watu wenye "proven performance recods" kama Headmasters wa shule as sekondari n.k. Pia pamoja na uchache wa "Masters degree holders" hao wachache aliwaanzishia wilayani kama DDD halafu kutokana na utendaji nzuri wao walipandishwa kuwa RDD, Makatibu Wakuu au kuteuliwa kuwa Mawaziri. Nakumbuka mfano mmoja kwa utaratibu huu alihamishiwa Mwanga na baadaye akawa Katibu Mkuu na kwa kumbukumbu zangu alistaafu akiwa Katibu Mkuu.Zipo tetesi kwamba hawa wakurugenzi wa halmashauri,miji ,manispaa na majiji walipewa mikataba ya miaka miwili na mikataba yao imeisha juni 30 2018.
Wapo baadhi yao wameonyesha udhaifu wa hali ya juu katika kusimamia shughuri za serikali, wameshindwa kusimamia miradi ya maendeleo, wengine walevi , wengine kazi yao kujisifu tu , wengine wameshindwa hata kufikia 40% ya makusanyo ya mapato ya ndani, wengine hawapeleki fedha za vijana na wanawake, wengine wevi, wengine wamejilipa posho siku 400 wakati mwaka una siku 365, wengine kazi yao kununua ardhi za watu kana kwamba waliambiwa wakawe wawekezaji . wengine miji yao michafu, wengine wamekuwa watu wa migogoro na madiwani, wengine hawakai vituoni , wengine wababe na wengine wanafanya kazi kwa mazoea.
Je ungependa mkurugenzi wako arudi. au atumbuliwe tu kwa sababu hana faida, au ahamishwe.
Mapato asilimia kubwa yamechukuliwa na serikali kuu!!na hayarudishwi wao wafanyeje?hicho kidogo ambacho ni mapato ya ndani mtu anakupangia matumizi eti towa asilimia 10 uwape wanawake na vijana,pesa za maendeleo hazipelekwi kama zilivyopitishwa na bunge wao wafanye nini?Aanze na manispaa ya Bukoba, hawajielewi
na uhakika kwa vyanzo walivyoachiwa wamekusanya japo kwa 80%? Au unasema tuMapato asilimia kubwa yamechukuliwa na serikali kuu!!na hayarudishwi wao wafanyeje?hicho kidogo ambacho ni mapato ya ndani mtu anakupangia matumizi eti towa asilimia 10 uwape wanawake na vijana,pesa za maendeleo hazipelekwi kama zilivyopitishwa na bunge wao wafanye nini?
idara ya ujenzi,,elimu,mifugo ni kina nani?Anatakiwa kupeleka mtu wa kazi pale make kuna miungu watu idara zote isipokuwa idara ya afya ndo iko smart. Anatakiwa kuanza na ya ujenzi na miundombinu huko ndo kumejaa uswahiba wa kutisha
Zipo tetesi kwamba hawa wakurugenzi wa halmashauri,miji ,manispaa na majiji walipewa mikataba ya miaka miwili na mikataba yao imeisha juni 30 2018.
Wapo baadhi yao wameonyesha udhaifu wa hali ya juu katika kusimamia shughuri za serikali, wameshindwa kusimamia miradi ya maendeleo, wengine walevi , wengine kazi yao kujisifu tu , wengine wameshindwa hata kufikia 40% ya makusanyo ya mapato ya ndani, wengine hawapeleki fedha za vijana na wanawake, wengine wevi, wengine wamejilipa posho siku 400 wakati mwaka una siku 365, wengine kazi yao kununua ardhi za watu kana kwamba waliambiwa wakawe wawekezaji . wengine miji yao michafu, wengine wamekuwa watu wa migogoro na madiwani, wengine hawakai vituoni , wengine wababe na wengine wanafanya kazi kwa mazoea.
Je ungependa mkurugenzi wako arudi. au atumbuliwe tu kwa sababu hana faida, au ahamishwe.
Nakuunga mkono 100% mkuu,na hata wengine wanashirikiana na madiwani kuhujumu miradi ya wananchi.Sijui Watanzania tutaponea wapi,najionea huruma sana.Wale waliopaswa kutuletea maendeleo, ndio vinara wa kutufukarisha.Magufuli ana kazi ngumu.Zipo tetesi kwamba hawa wakurugenzi wa halmashauri,miji ,manispaa na majiji walipewa mikataba ya miaka miwili na mikataba yao imeisha juni 30 2018.
Wapo baadhi yao wameonyesha udhaifu wa hali ya juu katika kusimamia shughuri za serikali, wameshindwa kusimamia miradi ya maendeleo, wengine walevi , wengine kazi yao kujisifu tu , wengine wameshindwa hata kufikia 40% ya makusanyo ya mapato ya ndani, wengine hawapeleki fedha za vijana na wanawake, wengine wevi, wengine wamejilipa posho siku 400 wakati mwaka una siku 365, wengine kazi yao kununua ardhi za watu kana kwamba waliambiwa wakawe wawekezaji . wengine miji yao michafu, wengine wamekuwa watu wa migogoro na madiwani, wengine hawakai vituoni , wengine wababe na wengine wanafanya kazi kwa mazoea.
Je ungependa mkurugenzi wako arudi. au atumbuliwe tu kwa sababu hana faida, au ahamishwe.
Twende kwa facts sio kubwabwaja tuZipo tetesi kwamba hawa wakurugenzi wa halmashauri,miji ,manispaa na majiji walipewa mikataba ya miaka miwili na mikataba yao imeisha juni 30 2018.
Wapo baadhi yao wameonyesha udhaifu wa hali ya juu katika kusimamia shughuri za serikali, wameshindwa kusimamia miradi ya maendeleo, wengine walevi , wengine kazi yao kujisifu tu , wengine wameshindwa hata kufikia 40% ya makusanyo ya mapato ya ndani, wengine hawapeleki fedha za vijana na wanawake, wengine wevi, wengine wamejilipa posho siku 400 wakati mwaka una siku 365, wengine kazi yao kununua ardhi za watu kana kwamba waliambiwa wakawe wawekezaji . wengine miji yao michafu, wengine wamekuwa watu wa migogoro na madiwani, wengine hawakai vituoni , wengine wababe na wengine wanafanya kazi kwa mazoea.
Je ungependa mkurugenzi wako arudi. au atumbuliwe tu kwa sababu hana faida, au ahamishwe.
Siwafahamu sana mzee ila wanamwangusha sana raisidara ya ujenzi,,elimu,mifugo ni kina nani?
Matatizo yao si pesa tu mkuu make kote kuko hivyo Tz nzima, tatizo la hawa watendaji ni kukosa plan. Hata kusafisha na kurudishia mitalo ya maji mjini wanasubiri bajeti kuu????Mapato asilimia kubwa yamechukuliwa na serikali kuu!!na hayarudishwi wao wafanyeje?hicho kidogo ambacho ni mapato ya ndani mtu anakupangia matumizi eti towa asilimia 10 uwape wanawake na vijana,pesa za maendeleo hazipelekwi kama zilivyopitishwa na bunge wao wafanye nini?