Wakurugenzi wengi wa Halmashauri ni majipu

Wakurugenzi wengi wa Halmashauri ni majipu

Nakuunga mkono 100% mkuu,na hata wengine wanashirikiana na madiwani kuhujumu miradi ya wananchi.Sijui Watanzania tutaponea wapi,najionea huruma sana.Wale waliopaswa kutuletea maendeleo, ndio vinara wa kutufukarisha.Magufuli ana kazi ngumu.
Hawa ndo wamejaa manispaa ya Bukoba
 
Hasa mkrugenzi wa manisapaa ya..... mujini... Huyu bwan anakula RUSHWA SANA, YAAAN NIMLAJI WA WARUSHWA MKUBWA

NAYEYE WAKISHIRIKIANA NA MKUU WA WILAYA YAKE, WAMEAMUA KUA WALA RUSHWA SUGUUUU YAAAM SUGUU.
 
Back
Top Bottom