Wakurugenzi wengi wa Halmashauri ni majipu

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,707
Zipo tetesi kwamba hawa wakurugenzi wa halmashauri,miji ,manispaa na majiji walipewa mikataba ya miaka miwili na mikataba yao imeisha juni 30 2018.

Wapo baadhi yao wameonyesha udhaifu wa hali ya juu katika kusimamia shughuri za serikali, wameshindwa kusimamia miradi ya maendeleo, wengine walevi , wengine kazi yao kujisifu tu , wengine wameshindwa hata kufikia 40% ya makusanyo ya mapato ya ndani, wengine hawapeleki fedha za vijana na wanawake, wengine wevi, wengine wamejilipa posho siku 400 wakati mwaka una siku 365, wengine kazi yao kununua ardhi za watu kana kwamba waliambiwa wakawe wawekezaji . wengine miji yao michafu, wengine wamekuwa watu wa migogoro na madiwani, wengine hawakai vituoni , wengine wababe na wengine wanafanya kazi kwa mazoea.

Je ungependa mkurugenzi wako arudi. au atumbuliwe tu kwa sababu hana faida, au ahamishwe.
 
Nafikiri mkugurenzi asiyekuwa na maelewano mazuri na watendaji wake wa kazi na kujiona yeye pekee ndiye mwenye maamuzi ya mwisho bila kuhitaji michango ya wenzake huyo atumbuliwe tu, maana kiongozi mzuri ni yule mchapakazi na mwenye mahusiano mazuri na watendaji wake.
 
Nao watakipata kilichompata Prof wa NSSF muda siyo mrefu! Yajayo yanafurahisha!!!!
Zipo tetesi kwamba hawa wakurugenzi wa halmashauri,miji ,manispaa na majiji walipewa mikataba ya miaka miwili na mikataba yao imeisha juni 30 2018.
Wapo baadhi yao wameonyesha udhaifu wa hali ya juu katika kusimamia shughuri za serikali, wameshindwa kusimamia miradi ya maendeleo, wengine walevi , wengine kazi yao kujisifu tu , wengine wameshindwa hata kufikia 40% ya makusanyo ya mapato ya ndani, wengine hawapeleki fedha za vijana na wanawake, wengine wevi, wengine wamejilipa posho siku 400 wakati mwaka una siku 365, wengine kazi yao kununua ardhi za watu kana kwamba waliambiwa wakawe wawekezaji . wengine miji yao michafu, wengine wamekuwa watu wa migogoro na madiwani, wengine hawakai vituoni , wengine wababe na wengine wanafanya kazi kwa mazoea.

Je ungependa mkurugenzi wako arudi. au atumbuliwe tu kwa sababu hana faida, au ahamishwe.
 
Tatizo Sio Mchele tatizo Ni Mpishi

Utabadilisha kuanzia Mchele wa Kyela, Mang'ula, Mbingu, Shinyanga n.k Kumbe tatizo lipo Kwa Mpishi wa hiyo Michele Ana Mihemko, ujuaji mwingi
 
jahahahahahahah
 
Nchi hii kuanzia juu kabisa ngazi ya Urais hadi hao unawasema wote ni majipu haswa
 
Aanze na manispaa ya Bukoba, hawajielewi
 
Tatizo Sio Mchele tatizo Ni Mpishi

Utabadilisha kuanzia Mchele wa Kyela, Mang'ula, Mbingu, Shinyanga n.k Kumbe tatizo lipo Kwa Mpishi wa hiyo Michele Ana Mihemko, ujuaji mwingi
pohamba upo mkuu? umeadimika?
 
Tatizo akiwatumbua hao ni watumishi wa umma, mishahara yao inabaki palepale, na ni mikubwa kweli
 
Back
Top Bottom