Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,395
Chitchat ,itakuwa wapo tu wamama wazuri na familia zaoSijauliza wapo wapi!!! Najiuliza wapoje. π
Sawa πChitchat ,itakuwa wapo tu wamama wazuri na familia zao
ππππNiliwahi mtegeshea peni makalioni mshikaji mmoja wakati kasimama kujibu swali, alipikuja kukaa(kuikalia) sintosahau[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji91][emoji41]
Tulikuwa tunapenda sana kuchezea maji na utelezi hasa mvua inaponyesha, tena bila viatu kama picha hii inavyoonesha.
Dah umenikumbusha mbali sana.Kuchuma fimbo...kuleta mbolea ...kumwagilia mauwa ya viungaππ
Nyoa nywele ziko na size 1 fimbo matakon wasichanaDah umenikumbusha mbali sana.
π€£π€£π€£Daaah enzi hizo kuna demu nilikuwa nampenda mtoto wa mwalimu wangu nakumbuka nikamchapa barua ya mtongozo ikiwa imewekwa kwenye bahasha na maneno kiss before openππππ aisee mama yake ndo akaikamata sitokaa nisahau walahi iyo mwaka 1993
Ikawajeee, ππππDaaah enzi hizo kuna demu nilikuwa nampenda mtoto wa mwalimu wangu nakumbuka nikamchapa barua ya mtongozo ikiwa imewekwa kwenye bahasha na maneno kiss before openππππ aisee mama yake ndo akaikamata sitokaa nisahau walahi iyo mwaka 1993
πDadeqDaaah enzi hizo kuna demu nilikuwa nampenda mtoto wa mwalimu wangu nakumbuka nikamchapa barua ya mtongozo ikiwa imewekwa kwenye bahasha na maneno kiss before openππππ aisee mama yake ndo akaikamata sitokaa nisahau walahi iyo mwaka 1993
πππ acha kabisa tuliitwa assemble shule nzima ikasomwa pale mbele na binti wa yule teacher alafu akamalizia kwako jozzaππππ oyaa niliitiwa mzazi wangu shule akiwa ni bibi yangu aisee nilikula stiki za walimu wote na waliambiwa wanichape fimbo 10 kila mmoja bibi kakaa pembeni ukitikisika anafutaππππ walimu wakaanza kuniona huruma sasa bibi basi inatosha, bibi anasema ukishindwa nainuka mimi mwenyeweπππ na mimi kuliko bibi bora walimu waendelee kunizibua badae jioni binti aliniambia tukutane shida nyingine iyoππππIkawajeee, ππππ
ππππππππ acha kabisa tuliitwa assemble shule nzima ikasomwa pale mbele na binti wa yule teacher alafu akamalizia kwako jozzaππππ oyaa niliitiwa mzazi wangu shule akiwa ni bibi yangu aisee nilikula stiki za walimu wote na waliambiwa wanichape fimbo 10 kila mmoja bibi kakaa pembeni ukitikisika anafutaππππ walimu wakaanza kuniona huruma sasa bibi basi inatosha, bibi anasema ukishindwa nainuka mimi mwenyeweπππ na mimi kuliko bibi bora walimu waendelee kunizibua badae jioni binti aliniambia tukutane shida nyingine iyoππππ
Achaa mkuuπDadeq
Badae naonana na mtoto wa kike kwenye mahindi huko shambani ndo sehemu yamakutano kabeba trei la mayai kaniletea tobaaaππππ haya naenda kusema nimetoa wapiππππ nikachukua lile trei alivyosepa nikaanza kulengea kware yale mayai mpaka yakaisha nikarudi zangu om ni kisanga aisee sijui yule dada atakuwa wapi walahi popote ulipo jozza nakukumbuka sanaπππππ