Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

Sikuwaga mzuri kwenye Hesabu (Namba) kuna siku nilielewa somo nikapata 6/6, Excellent.
Mwalimu wa Namba ndio pia mwalim wa darasa akanichagua monitor ( alipendezwa na sofa za utii, kuwahi, nidhamu, n.k) na kunipa majukumu ya kuandaa gumbo za mti wa mlawa (gumbo ikinyauka haivunjiki), zile fimbo zilianza kunirudia - nilikuwa nachapwa nazo, wa rafiki zabgu wananikasirikia mbaya.
 
Tulikuwa tunapenda sana kuchezea maji na utelezi hasa mvua inaponyesha, tena bila viatu kama picha hii inavyoonesha.

kitt-713792.jpg
 
Daaah enzi hizo kuna demu nilikuwa nampenda mtoto wa mwalimu wangu nakumbuka nikamchapa barua ya mtongozo ikiwa imewekwa kwenye bahasha na maneno kiss before open😂😂😂😂 aisee mama yake ndo akaikamata sitokaa nisahau walahi iyo mwaka 1993
 
🤣🤣🤣
 
Nakumbuka kipindi hicho mrema kashika kasi akiwa mambo ya ndani.
Niliokota kipande cha gazeti kwakweli sikudhamiria chochote nikaokota gazeti na kulibandika kwenye dawati liliandikwa hivi " mrema atoa siku 7... ukarabati uishe" hadi wazazi waliitwa. Yule mwalimu mkuu alikuwa na hasira sana. Japo nilikuwa namfuatilia sana mrema wakati ule lakini sikuwa na dhamira yyte juu ya gazeti lile. Natamani nikutane na yule mwalimu nimuulize shida ilikuwa nn hadi akanichapa vile???
 
Daaah enzi hizo kuna demu nilikuwa nampenda mtoto wa mwalimu wangu nakumbuka nikamchapa barua ya mtongozo ikiwa imewekwa kwenye bahasha na maneno kiss before open😂😂😂😂 aisee mama yake ndo akaikamata sitokaa nisahau walahi iyo mwaka 1993
Ikawajeee, 😂😂😂😂
 
😁Dadeq
 
Ikawajeee, 😂😂😂😂
😂😂😂 acha kabisa tuliitwa assemble shule nzima ikasomwa pale mbele na binti wa yule teacher alafu akamalizia kwako jozza😂😂😂😂 oyaa niliitiwa mzazi wangu shule akiwa ni bibi yangu aisee nilikula stiki za walimu wote na waliambiwa wanichape fimbo 10 kila mmoja bibi kakaa pembeni ukitikisika anafuta😂😂😂😂 walimu wakaanza kuniona huruma sasa bibi basi inatosha, bibi anasema ukishindwa nainuka mimi mwenyewe😂😂😂 na mimi kuliko bibi bora walimu waendelee kunizibua badae jioni binti aliniambia tukutane shida nyingine iyo😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂
Badae naonana na mtoto wa kike kwenye mahindi huko shambani ndo sehemu yamakutano kabeba trei la mayai kaniletea tobaaa😂😂😂😂 haya naenda kusema nimetoa wapi😂😂😂😂 nikachukua lile trei alivyosepa nikaanza kulengea kware yale mayai mpaka yakaisha nikarudi zangu om ni kisanga aisee sijui yule dada atakuwa wapi walahi popote ulipo jozza nakukumbuka sana
 
Nilikuwa nataka kupitia dirishani kama unavyotambua shule za msingi kwetu hapa tz ni madirisha yenye nondo tu

Bwana wewe si kichwa kikwamba kwenye nondo.

Nilikula stiki sio poa,umwamba wote mfukoni
 
Back
Top Bottom