Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 930
- 1,229
Daah nimesoma Baadhi ya comments hasa Zile za mwanzo mwanzo 2010, Wale waliocoment wakiwa ma bint sijui wapoje sikuizi.
Safi unamtafuta fake pMambo 😎
NdioSafi unamtafuta fake p
Wapo makwaoDaah nimesoma Baadhi ya comments hasa Zile za mwanzo mwanzo 2010, Wale waliocoment wakiwa ma bint sijui wapoje sikuizi.
😭😭😎Nime kamisi sana kale katotoFake P Sijui kapotelea wapii
Sjui yu wapiNdio
Katakuja tu Fake P😭😭😎Nime kamisi sana kale katoto
Au Itakuwa ana soma skuiziSjui yu wapi
Hahahaha sidhani ila Fake PAu Itakuwa ana soma skuizi
😎😎 Duh nam misi sanaHasomi nadhani
Husemwi wewe mwezi umepotea huonekani , 🤣😂😂😂 zawadi unarudi nazo wapiKatoto?😭😭😭😭 sikupi zawadi shenzy
Aikooooo! Umekua sasa?
Nilikua likizo nikajua mtajifunza na nidhamu kidogo,😎😎 kumbe bado mpo vile vile narudi na zawadi zangu mimi😭😭😭😭
Sijauliza wapo wapi!!! Najiuliza wapoje. 😀Wapo makwao