Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,013
- 1,634
Msimu huu wakulima wa Machungwa aina ya Valencia wamepata fedha nzuri, kwani mpaka Muda huu kule mashambani muheza Tanga bei ya Chungwa moja ni Tsh 100 hiyo ni bei ya shambani tena hapo mkulima analinga kwani wanunuzi ni wengi. Ni kawaida mkulima anaemiliki ekari moja kutoa Machungwa mpaka elf 60 na kumiliki Tsh Milioni 6 na Kuna watu wanamiliki mpaka ekari 100
Ushauri kwa wakulima wa Machungwa mnachokipata kifanyieni mambo ya maendeleo maana haijulikani msimu ujao itakuaje
Ushauri kwa wakulima wa Machungwa mnachokipata kifanyieni mambo ya maendeleo maana haijulikani msimu ujao itakuaje