Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

Kweli Mbowe kahamisha wengi, ulivyokua unawapiga spana Raisi ambao walikua waislamu kua ni dhaifu na wameharibu hii nchi, ukianza na Mwinyi, Jk tena ukawa unawatukana watu wa mwambao wa pwani Leo imekua Samia be strong. Kweli naamini sasa makapi yameondoka CDM.

Wewe na msaliti Zitto Kabwe tofauti yenu ni nini?. Maana ulimsema sana kipindi hicho.
Samia anahitaji kuwa strong zaidi ya hapo!! Hatuwezi sifia uhuni wa kina Gwajima!! Gwajima ni mshenzi Kama washenzi wengine Samia aongeze dozi!
 
Kama likikiuka taratibu litafungwa tu hakuna namna , yani tusifuate sheria kwakuwa haikuwahi kutekelezwa? Kila kitu kina mara yake ya kwanza , hakuna uhuru usiokuwa na mipaka ,pamoja naunga mkono reforms ila siungi mkono huu upuuzi wa gwajima, yani uharibu amani ya nchi kisa maslahi yako binafsi , lifungwe tu hilo kanisa
Kuna sheria kufunga taasisi kwanza unaonywa, na unajieleza mwishoe unafungiwa. Hapo ni joto la kisiasa na mamlaka tu!
 
Kuna sheria kufunga taasisi kwanza unaonywa, na unajieleza mwishoe unafungiwa. Hapo ni joto la kisiasa na mamlaka tu!
Inapokuwa kuna maslahi makubwa ya usalama wa nchi tunaangalia kipi kina priority kwanza
Hata hao marekani walichukua lundo la watu kinyume na sheria na kuwaweka guantanamo kwa miaka mingi bila ya kesi na kuwatesa, kinyume na sheria
Sheria zipo ila kuanza kutumia kanisa kutaka kuleta machafuko ya kidini na kudhihaki taasisi ya raisi hilo halikubaliki duniani popote
 
Mnapambana na Yesu kuliko mnavyopambana na Shetani,why?
Mungu ni mmoja naye sio mtu usimfikirie kama wewe ulivyo na majini yako!
Yeye ana nafsi tatu... Hilo somo linahitaji akili kubwa sio hizo zako nusu kisoda🤣
unajua maana ya nafsi wewe?
nafsi iko kwa binadamu tu nyau wewe
 
Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!
  • Gwajima
  • Kitima
Kinyume chake ndio ukweli, Gwajima ipo video anayosikika akiongea ujinga kuhusu waislam.

Father Kitima alimchukulia kwa dharau Samia akasahau kuwa urais ni taasisi sio mtu mmoja. Anafanya kitu kibaya pengine bila ya kujua madhara yake, kulivuta kanisa katoliki kwa ujumla wake dhidi ya serikali ya awamu ya sita akisahau kuwa kundini kuna watu wa karibu wa Samia.

Zawadi ya gari alilotoa Samia na likawakilishwa na Makamu Mpango siku aliyopokelewa Baba Askofu Musomba ni ushahidi kuwa kundini kuna watiifu wa awamu ya sita.
 
Mashambulizi waongeze ili ikifika wakati muafaka isiwe shida tunawamudu!!
 
mwambieni yesu/binadamu mwenzetu awatetee kenge nyie.
Kumbuka lakini kuwa dini ulonayo (uislamu au ukristo) ni matokeo ya kutawaliwa na wazungu na waarabu. Ni ajali ya kihistoria na kijiografia, si kitu cha kujivunia na kutufanya waafrika tufarakane. Tunahitaji, juu ya yote, ukombozi wa kifikira
 
Back
Top Bottom