Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

Kweli kabisa watu hawajui kinachoendelea nchini maana hizi habari hazipatikani redioni na kwenye magazeti na hata zingekuwa zipatikana watanzania wasingezifuatilia.

Utanzania ni shida shida shida mpaka siku ya mwisho 😎
acha waendelee kujidanyanya vijana wapobize kuangalia vichekesho TikTok

wazee wapigakura wanajua ccm ikikosa uongozi vita inatokea 😁😁😁😁
 
acha waendelee kujidanyanya vijana wapobize kuangalia vichekesho TikTok

wazee wapigakura wanajua ccm ikikosa uongozi vita inatokea 😁😁😁😁
Tanzania hii kwa nini mtu akizeeka anakuwa CCM hata kama zamani alikuwa chadema.
Hili swali huwa najiuliza na jibu bado Sina.
 
Viongozi wa dini mkiambiwa na wanasiasa kuombea sijui uchaguzi sijui amani,waambieni wanasiasa waombe wenyewe hamtaki kuchanganya dini na siasa!
 
fikiria mzee wa miaka 50 aanze hekaheka zavita😁😁😁 wakati ni umri wakupunzika
Hahaha, kwanza huku Afrika mtu akizeeka anaona bora mliobaki mteseke tu ndo maana baadhi ya wazee wakikaribia kufa, wanaanza kuuza Mali zao na kuwaacha watoto taabuni 😂.
 
Mmm, kwa nini uwaite watu washenzi na wakati huo unamuunganisha na mhe Rais kuonyesha kwamba huko upande wake, ungeweza kuwadharau watu kama ulivyoonyesha bila kumuunganisha mh Rais.
 
Back
Top Bottom