Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

Wakati masheikh wapo gerezani wanateseka hamkua mna chochea waendelee kubaki, au wewe haukua pamoja nao?

Mama akawatoa
ugaidi...tofautisha na mtu anayepinga utekaji. Na tunasema kuna ushahidi kweli wa ugaidi? au wanaonew?
 
Walifanya nini? Mbona end of the day wamekutwa hawana hatia!! Acheni chuki enyi wapagani
Kuna waliohukumiwa kunyongwa. Lakini kweli ni ugaidi? Hawasingiziwi zababu za kisiasa?
 
Tususie uchaguzi wakashiriki magaidi na wenye suruali fupi pekee na wakristu waroho wa madaraka.
 
Wakati masheikh wapo gerezani wanateseka hamkua mna chochea waendelee kubaki, au wewe haukua pamoja nao?

Mama akawatoa
Kama walionewa , trumped charges, tuko nao, kama kweli ulikuwa ni ugaidi hatupashwi kuwa nao
 
yesu sio mungu kenge wewe😁
 
yesu sio mungu kenge wewe😁
Mnapambana na Yesu kuliko mnavyopambana na Shetani,why?
Mungu ni mmoja naye sio mtu usimfikirie kama wewe ulivyo na majini yako!
Yeye ana nafsi tatu... Hilo somo linahitaji akili kubwa sio hizo zako nusu kisoda🤣
 
Waswahili wanasema huwezi kumnyweaha Mungu uji!! Safi sana sana! Huwezi kutikisa mzinga wa Nyuki utegemee nyuki hao wakutekenye!!

Dawa ya moto ni moto!!

Samia be strong hiki ndicho hawa washenzi wanastahili!
Kweli Mbowe kahamisha wengi, ulivyokua unawapiga spana Raisi ambao walikua waislamu kua ni dhaifu na wameharibu hii nchi, ukianza na Mwinyi, Jk tena ukawa unawatukana watu wa mwambao wa pwani Leo imekua Samia be strong. Kweli naamini sasa makapi yameondoka CDM.

Wewe na msaliti Zitto Kabwe tofauti yenu ni nini?. Maana ulimsema sana kipindi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…