Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,020
- 15,874
Wenzio wanatafuta kitoweo muda huu tule pilau baadae wewe unagombea remote?Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka vipindi vya dini licha ya leo kuwa siku muhimu kwetu, au anataka niseme nionekane nina roho mbaya?
Jikite Kwenye hoja, anafanya huyu mgeni ni sahihi nikiongea sindo ataenda kusema waislam tuna chuki na roho mbayaHujaswali swala Eid Leo?
Unajuaje labda mwenzio ni member humu baadaye ataona umemsema na atajua fake id yako pia?unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.
Wakristo hapa nikiongea atasema waislam sio mmNi swala la wakristo au la huyo mgeni wako?
Sio member ni mtu fulani anaeishi karne ya 19 katika karne 20Unajuaje labda mwenzio ni member humu baadaye ataona umemsema na atajua fake id yako pia?
Nikimwambia ntaonekana nina roho mbaya nafikisha ujumbe humu maana wapo pia humu wenye tabia hizoWewe ni mnafiki na hujiamini hata ndani ya nyumba yako. Unashindwa nini kumchana LIVE huyo aliyeweka channel ya manabii feki?
Wewe ni mnafiki.Nikimwambia ntaonekana nina roho mbaya nafikisha ujumbe humu maana wapo pia humu wenye tabia hizo
mkuu sio sawa unachokililia hayo mambo waachie watoto,mimi huwa nawachia wageni waangalie chochote wanachotaka, sasa tv na karne ya sasa kulilia remot wakati unaweza ukatafuta hata kitu kingine kikakupa furaha acha mgeni afurahie si ataondoka na tv atakuachia,na hili jambo halihusiani na dini ni hulka zako tuHabari za asubuhi
Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.
Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka vipindi vya dini licha ya leo kuwa siku muhimu kwetu, au anataka niseme nionekane nina roho mbaya?
Tukiwa kwa watu tujiheshimu aisee mambo madogo madogo tuyaache
Hilo tu
Hahaha dogo kobaz. Usifanye mchezo na kondoo wa bwana. Sisi ni kondoo popote pale hisia zetu zinatupeleka iwe kifo, jema ama baya bora inahusiana na Yesu na Israel tutaenda.Habari za asubuhi
Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.
Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka vipindi vya dini licha ya leo kuwa siku muhimu kwetu, au anataka niseme nionekane nina roho mbaya?
Tukiwa kwa watu tujiheshimu aisee mambo madogo madogo tuyaache
Hilo tu
Mjomba mwenyewe anasubiri simu ya mwaliko iite akapate chochote kitu life bongo siyo poa!Wenzio wanatafuta kitoweo muda huu tule pilau baadae wewe unagombea remote?