makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,541
Msifanye hivyo..š¤£
Kitu pekee huwa kinamuweka cr7 kwenye ushindani na messi ni goals tu..
So ukiona kwenye magoli kazidiwa basi jua huko kwingine ni zaidi.
Msifanye hivyo..š¤£
NahisiBaada ya Lionel Messi kupiga show lingine la hatari World Cup, legends mbalimbali wamejikuta wakimmiminia sifa La Pulga mfululizo kama mafuriko.
Ronaldo NazĆ”rio āDe Limaā, "The Real Ronaldo" mwenyewe amesema muda umefika dunia ikubali kuwa Messi ndiye GOAT wa kweliš„
Bingwa huyo wa zamani wa World Cup alisema anashangazwa na jinsi Messi anavyoendelea kukiwasha kila msimu na kwenye World Cup licha ya umri kusogea š„
Thierry Henry gwiji la soka la Ufaransa naye alisema:
ā Leo yuko kwenye kiwango kingine kabisa ā š„
Henry akaendelea kusifia uwezo wa Mchawi wa Rosario kuona mapana ya uwanja, kuamua mechi kubwa na consistency yake ya kutisha š„
Alan Shearer mkali wa mabao wa England yeye baada ya kuona goli la 16 la Messi akaishia kusema tu:
ā Oh my God Messi ā
Hata Miroslav Klose ambaye record yake imefikiwa na Messi alisema hana shida kabisa kumuona La Pulga akiivunja.
Captain wa Albiceleste, Flea Genius, Football Alien, Little Magician na GOAT wa Argentina anaendelea kufanya mpaka legends washindwe kuficha hisia zao.
Balaa.Ngori ni nini
Ni noma sana š.Imagine beki mwenyewe ni Mwamnyeto.
Pepe ndani!Mropokaji Pepe lazima awepo.
Hawa wameshinda kwa kura nyingiPepe ndani!
Ramos ndani!
Sasa Mwamnyeto si atafia uwanjaniNi noma sana š.
Hakuna kura iliyoharibika š.Hawa wameshinda kwa kura nyingi
ššSasa Mwamnyeto si atafia uwanjani
Ureno wakimpanga tena kwenye mechi ijayo,tena 1st eleven basi watakuwa hawana shida na KombeCR7 yeye kabakisha kutema mate tu uwanjani kama mbugia ugoro.
Kabisa Pepe na Ramos ndo wahusikaHakuna kura iliyoharibika š.
Walitaka kumuua Messi lakini wakashindwa.Kabisa Pepe na Ramos ndo wahusika
Wale jamaa makatiliWalitaka kumuua Messi lakini wakashindwa.
Unadhani ule ukatili unatokana na nini?Wale jamaa makatili
Kiboko yake James Milner.Ukiwa beki halafu ukamwona Messi anampira basi ushuzi utakutoka tu hata kama hujala kunde.
Aisee! usinikumbushe hiyo mechi.Kiboko yake James Milner.
Alimfanyia tackling za kibabe Messi akamuita punda (burro).
UCL semi final 2019.
Beki 3Beki gani mmojawapo
Ulikuwa unanijibu mimi mzee?Nahisi akikuo
Nahisi akikuomba, utamgeia kabisa! Sio kumpa tu....maana si kwa mahaba haya!
SijuiUnadhani ule ukatili unatokana na nini?
We kijana mdogoBeki 3