Wakongwe wadatishwa na kiwango cha Messi

Wakongwe wadatishwa na kiwango cha Messi

Mimi nakubali messi ni bora, kwangu ni namba 2 baada ya pele, kisha cr7 anaweza akawa wa 7 hivi ama wa 5..

Swali je, kwanini kuna matukio messi hapewi kadi, naikumbuka ile na holland alidaka mpira, kuna ile akiwa inter miami, mbaya zaidi juzi alimkanyaga mcjezaji wa algeria ile aio bahati mbaya, sababu marudio yanaonesha wakati anaemda kukanyaga macho yake yalikuwa kwenye miguu ya mwenzir, kwanini isiwe kadi nyekundu, je FIFA wanalinda heshima ya mwamba?
Hayo ni mambo ya kawaida tu migo yanayotokea kila siku kwa hiyo usiwaze sana wewe endelea kufurahia la La Pulga.
 
Sio kweli bhana yaani alie mpaka kwenye ligi ya Saudia🤣
Alilia Sana 🤣

To me licha ya kutompenda but was inspiration kuona jamaa licha ya kufanikiwa but still ana uchu wakupata mafanikio zaidi so

So we must don't stop until we get enough
 
Yale magoli yake na Algeria alikuwa anaanzisha movement mwenyewe
Noma sana lile goli la kwanza the way alivyo ipokea ile pasi then ana turn around ana sogea hatua mbili halafu ana achia machine dahh yule jamaa mtu hatari sana

Goli la mwisho ile move kama yale mabao yake akiwa barca yule kiumbe kaja kucheza mpira tu duniani nothing else
 
Hata VAR? Inafikirisha sana.
Ndio mpira Mzee utasema kwamba anabebwa !? Henry aliwahi kumshinda goli la mkono ndio France ikapata ticket ya kucheza kombe la Dunia

Maradona alishinda Kwa kushika mpira

Hii michezo ya kuamuliwa na binaadamu michosho sana
 
Ndio mpira Mzee utasema kwamba anabebwa !? Henry aliwahi kumshinda goli la mkono ndio France ikapata ticket ya kucheza kombe la Dunia

Maradona alishinda Kwa kushika mpira

Hii michezo ya kuamuliwa na binaadamu michosho sana
NAkumbuka yote hayo, nauliza VAR.. sababu inayo nafasi ya kuangalia mara ya pili na ya 3,
Enzi hizo VAR haikuwepo, messi nae ana goli la mkono lakini sijalitaja sababu kipondi hicho issue ya VAR haikuwepo, sasa hivi kuna haja ya kuuliza sababu ya uwepo wa VAR
 
Alilia Sana 🤣

To me licha ya kutompenda but was inspiration kuona jamaa licha ya kufanikiwa but still ana uchumi wakupata mafanikio zaidi so

So we must don't stop until we get enough
Ana juhudi sana na ndiye mchezaji wa kireno ninayemkubali kuliko wote.
 
Screenshot_20260620_022757_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom