secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,471
Kwa sababu Messi aliwadhalilisha tangu wakiwa vijana wadogo. Waliathirika kisaikolojia.Sijui
Kwa sababu Messi aliwadhalilisha tangu wakiwa vijana wadogo. Waliathirika kisaikolojia.Sijui
"Muda umefika dunia ikubali kuwa Messi ndiye GOAT wa kweli"Msifanye hivyo..🤣
Kitu pekee huwa kinamuweka cr7 kwenye ushindani na messi ni goals tu..
So ukiona kwenye magoli kazidiwa basi jua huko kwingine ni zaidi.
Sio hivyo mkuu haiwezi kufikia hatua hiyo.Nahisi
Nahisi akikuomba, utamgeia kabisa! Sio kumpa tu....maana si kwa mahaba haya!
Hana jipya mcheza fouls yule.Kiboko yake James Milner.
Alimfanyia tackling za kibabe Messi akamuita punda (burro).
UCL semi final 2019.
Ha ha haa 🤣Hana jipya mcheza fouls yule.
Wamechukua ubingwa kwa mara ya kwanza tangu ajiunge na al nasryhapana