kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,389
- 22,949
hapana alilia Ronaldo kamasi debeHivi kule Saudi Arabia amechukua tuzo yoyote msimu huu?
hapana alilia Ronaldo kamasi debeHivi kule Saudi Arabia amechukua tuzo yoyote msimu huu?
Al-Nassr, won the Saudi Pro league tittle.hapana
Ila yeye mwenyewe hajachukua hata kiatu?Nafikiri wamechukua ligi.
Sio kweli bhana yaani alie mpaka kwenye ligi ya Saudia🤣hapana alilia Ronaldo kamasi debe
Yeah mwaka huu wamebebaAl-Nassr, won the Saudi Pro league tittle.
Ohoooo kamasi tele sikumwagika hukoSio kweli bhana yaani alie mpaka kwenye ligi ya Saudia🤣
Mhm! Labda!Yeye na mwenzie Ramos hawakosi kwenye hiyo orodha
Hahaha 😂🤣Yatakua maneno ya ramos na pepe walikua wanajikuta wamegongana wao vichwani messi kapita
Na jamaa akilia anatia huruma sanaOhoooo kamasi tele sikumwagika huko
Na kiungo wao mkabaji CasemiroMhm! Labda!
Kiatu alichukua yule dogo wa mexico. Aliyewafunga South Africa goli la kwanza.Ila yeye mwenyewe hajachukua hata kiatu?
Messi ni jinamizi aisee!Na kiungo wao mkabaji Casemiro
Basi huyo dogo aende zake UlayaKiatu alichukua yule dogo wa mexico. Aliyewafunga South Africa goli la kwanza.
Atachagua kimoja kati ya umaarufu na pesa.Basi huyo dogo aende zake Ulaya
Yale magoli yake na Algeria alikuwa anaanzisha movement mwenyeweMessi ni jinamizi aisee!
Umaarufu kwanza pesa uzeeniAtachagua kimoja kati ya umaarufu na pesa.
Zidane alikuwa jukwaani kakunja sura kama Ganda la limau, mtoto wake anadunguliwa tu na Messi 😂.Yale magoli yake na Algeria alikuwa anaanzisha movement mwenyewe
Mimi pesa kwanza.Umaarufu kwanza pesa uzeeni
Mtoto wake inaonekana hamna kitu ndio maana Ufaransa hawajamshawishi kuchezea FranceZidane alikuwa jukwaani kakunja sura kama Ganda la limau, mtoto wake anadunguliwa tu na Messi 😂.