Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,366
- 10,394
Kwani huyu dogo pesa anazopewa sasa hivi ni nyingi kiasi kwamba timu za Ulaya zitashindwa kumlipa?Mimi pesa kwanza.
Kwani huyu dogo pesa anazopewa sasa hivi ni nyingi kiasi kwamba timu za Ulaya zitashindwa kumlipa?Mimi pesa kwanza.
Kwamba kitendo cha kutobolewa na Messi ndo kinafanya aonekane hamana kitu?Mtoto wake inaonekana hamna kitu ndio maana Ufaransa hawajamshawishi kuchezea France
Sijui, lakini si unajua ligi yao inalipa vizuri!Kwani huyu dogo pesa anazopewa sasa hivi ni nyingi kiasi kwamba timu za Ulaya zitashindwa kumlipa?
Hapana Messi si anawatoboa wote tu🤣Kwamba kitendo cha kutobolewa na Messi ndo kinafanya aonekane hamana kitu?
Lakini si kwa malegend kama RonaldoSijui, lakini si unajua ligi yao inalipa vizuri!
Yes, Messi si kipimo cha ubora wa magolikipa.Hapana Messi si anawatoboa wote tu🤣
Yap, wanatotoka kwenye ligi kubwa ndo wanauwezekano wa kuliowa vizuri zaidi. Sometimes wanaangalia umaarufu ulionao ili uwanufaishe kibiashara.Lakini si kwa malegend kama Ronaldo
Wala mabekiYes, Messi si kipimo cha ubora wa magolikipa.
Dogo aende Ulaya labda atakuwa zaidi ya ChicharitoYap, wanatotoka kwenye ligi kubwa ndo wanauwezekano wa kuliowa vizuri zaidi. Sometimes wanaangalia umaarufu ulionao ili uwanufaishe kibiashara.
Yes.Wala mabeki
Hamna haja ya umaarufu kama pesa anapata.Dogo aende Ulaya labda atakuwa zaidi ya Chicharito
Vipi tuzo na mataji makubwa?Hamna haja ya umaarufu kama pesa anapata.
Mataji hayalishi,Vipi tuzo na mataji makubwa?
Mataji ni heshima,Mataji hayalishi,
Mataji hayalishi,
Hata kama unacheza bushi,
kama Crispin mgushi,
kikubwa upate keshi.
Pesa ndo Kila kitu,Mataji ni heshima,
Tuzo ni heshima,
Hasa kama una hekima,
Kuvipata hivyo ni lazima,
Pesa utapata tu daima.
Hata VAR? Inafikirisha sana.Makosa ya waamuzi hayo
Hii kazi ngumu sasa🤣Pesa ndo Kila kitu,
bila pesa we ni chatu,
tena yule mmeza watu,
pesa inazidi utu,
kwa sababu tu,
hizi si zama za Lutu.
Makosa yao sio ya MessiHata VAR? Inafikirisha sana.
Ni ngori mkuu.Hii kazi ngumu sasa🤣