Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
.
.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.
Wapo wachache sana. Kuwapata ni bahati.
 
kwa sasa labda ununue yule mdoli was kutundikia nguo.
 
And u may get surprised mwanaume anafanyiwa vyote hivyo lakini mwanamke anaisoma namba
Yaa nikweli niliwahi fanyiwa hivyo vyote,lakini mwisho wa siku nikajifanya mjuaji nikataka msomi yaliyonikuta siku moja ntakuja andika humu.Lakini kwa sasa nimembembeleza anirudie na kakubali naahidi kumpenda maisha yangu yote kamwe sintokuja leta ujinga tena.
 
Mmh lakin waume wenyewe wa sasa mkifanyiwa hayo mwaona kumbe huyu kwangu hana kaul mwaanza kufanya visa
 
Mbona my wife ndio tabia zake hizo!!akiwa mjzito ndio tatizo,ila siku ukisema hata unasafiri utamuonea huruma,kama safar sio muhimu sana waweza ahirisha,samahan ndio silaha yake kuu,ananipenda sana ofcourse,sijawahi kufikiria kumcheat wife,njooni Tanga nawashauri.
Masha Allah usimsalit
 
nyie viumbe hamna shukrani utapata mwanamke wa hivyo ila moyo wake utaufanya kama kitenesi...acheni mchunwe tu na wajanja
 
" siwez kukuacha Lazizi, siwezi kukuacha mpenzi
Tumeumbwa wote wawili, usiendeee mbali na mimi..!"
Hawajui tulipotoka,watajuaje tunapokwenda
Yakwao yamewashinda, yeetu hawatowezaa...!
NB. Tupo ila tumekua adimu mnoo
mmmh unamaanisha kweli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom