Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

Nadhani wapo, binafsi naona sifa hizo ulizo ainisha ni za lazima kwa mwanamke kuwa nazo

QUOTE="buzi lisilochunika, post: 18548134, member: 390823"]HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
.
.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.[/QUOTE]
 
Uyo mwanamke alishaolewa na mwana failsafe, jina lake judith wambura au lady Jay dee tena waliimba nakuimba tafuta wimbo wao utasikia nwana falsafa anashngaa
 
Start with a man in the mirror. ..hiyo nyingine ina unfold by itself. ..please trust me on that. ...
 
Wapoo mbonaa aisee ....mm mke wangu ananipendaa mpk muda mwingine nahisii n keroo ..maana kilaa dakikaa bby ht akipigiwa pisiiiii huko brbr atakuja kukuambiaa....njoo arusha wapoo
 
Yaa nikweli niliwahi fanyiwa hivyo vyote,lakini mwisho wa siku nikajifanya mjuaji nikataka msomi yaliyonikuta siku moja ntakuja andika humu.Lakini kwa sasa nimembembeleza anirudie na kakubali naahidi kumpenda maisha yangu yote kamwe sintokuja leta ujinga tena.
Hongera kwa kumpata tena
 
Mbona my wife ndio tabia zake hizo!!akiwa mjzito ndio tatizo,ila siku ukisema hata unasafiri utamuonea huruma,kama safar sio muhimu sana waweza ahirisha,samahan ndio silaha yake kuu,ananipenda sana ofcourse,sijawahi kufikiria kumcheat wife,njooni Tanga nawashauri.
Wanaume wa Tanga walio wengi unafiki umewajaa, hakuna mtu ataamini maneno yako mgoshingwa!
 
Hongera kwa kumpata tena
Lakini kupenda nikitu kibaya sana,kwa jinsi nilivyomkandia kipindi namuacha daah naomba kwakweli Mungu anisamehe.Lakini niliyoenda kukutana nayo najua Mungu alikuwa ananichapa fimbo nakuonyesha kuwa nilimkosea huyo binti.Lakini pia nimeamua kwa moyo wangu wote kuwa ntakuwa muaminifu kwake na ntampenda kwa moyo wangu wote.
 
Karibu kwangu hutajuta milele.
Mh wanaume nyie mkipendwa mnadharau sana, mnadhani mtu hua hana pa kwenda. Wakati mwingine mnasema huyu mwanamke atakuwa mjinga mjinga na elimu haijamsaidia kabisa. Lo mi ninahamu tena!
 
HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
.
.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.
Kwa sasa wapo kimaslai zaidi.
 
ni adimu kupatikana! Nikimkuta km huyo natangaza mapema.Maana cku hizi bila wallets ni kosa kubwa.Cjui walihama sayari
 
Mkuu unanikumbusha miaka ya 70. Wakati ule wa TANU inashika hatamu hao mabinti walikuwepo.unaenda ktk vikao na unarudi hata hajali na anajua ulikokuwa hukuwa pekee lazima ulikuwa na kimwana.Lakini ukirudi akikiona tu machozi humtoka ya furaha na ucheshi kutoka moyoni...Walivyobadilisha TANU na kuwa kitu kingine mambo yamekuwa shaghala bagala...Ukirudi Utasikia wenzangu hawajambo bora aseme mwenzangu hajambo.......Kwa kuwa maisha yanabadilika na wao tuache tu wabadilike. hata ndoa na mapenzi yalikuwa enzi hizo bwana
 
HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
.
.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.
namba 5 n kwel. coz kuna kishemeji chenu kimeniganda hadi huruma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom