Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

Pole yako wewe usiyetaka kutastawisha mahusiano yako na kuyajenga kwa kelele kelele, ngedele ndo wale wale kasoro mapori
mmh! Umejuaje kama mahusiano yangu hayako poa, unanidhania visivyo.
 
Sasa uliposema pole ulimaanisha nn? Usipende kuvamia usivyovijua
nimekupa pole kwa kutangaza kuchepuka kisa umekuta condoms kwa nguo ya mmeo. Kama una hamu ya kutusi bhasi mtusi mmeo kwa uchepukaji na siyo mimi.
 
nimekupa pole kwa kutangaza kuchepuka kisa umekuta condoms kwa nguo ya mmeo. Kama una hamu ya kutusi bhasi mtusi mmeo kwa uchepukaji na siyo mimi.
Hivi una wazimu ama? Umenifananisha? Mimi sijawahi sema hicho kitu unachokiongelea na sijawahi kuta condom kwenye Nguo ya mume wangu, naona umenifananisha, naomba uthibitishe hicho unachokiongea
 
Hao hawapo tena. Sasa umalaya umekithiri kuliko kipindi chochote kile.

Tamaa ya fedha imekuwa kubwa!
 
Labda kama tungepewa jukumu la kuumba tungeweza waumba wenye sifa hizo,Mola mwenyewe anakishangaa hiki kizazi utawapataje sasa wenye sifa hizo?kwasasa ni bora liende
 
Hivi una wazimu ama? Umenifananisha? Mimi sijawahi sema hicho kitu unachokiongelea na sijawahi kuta condom kwenye Nguo ya mume wangu, naona umenifananisha, naomba uthibitishe hicho unachokiongea
ooh! Huenda nimekosea bhasi yaishe dada maana tumeagizwa kuishi kwa upendo. Barikiwa.
 
ooh! Huenda nimekosea bhasi yaishe dada maana tumeagizwa kuishi kwa upendo. Barikiwa.
Next time usinifanyie hivyo, usiniongelee vibaya hata kwa mabaya maana itakua ni kueneza ubaya! Siku njema
 
Wako marikiti wameenda kukununulia common sense. Its 2016. Nyie bado mnataka wanawake waeendelee kuwa submissive na mueendelee kuwaregard as weak beings. Wake the f* up! What makes u think by being a man its okay to step over females?
 
Mbona my wife ndio tabia zake hizo!!akiwa mjzito ndio tatizo,ila siku ukisema hata unasafiri utamuonea huruma,kama safar sio muhimu sana waweza ahirisha,samahan ndio silaha yake kuu,ananipenda sana ofcourse,sijawahi kufikiria kumcheat wife,njooni Tanga nawashauri.
Unaanzaje sasa kumcheat mwanamke wa ivo,ukimcheat tu laana lazma ikuandame na unaweza kufia kifuani kwa mchepuko
 
HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
.
.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.
Mm ninaye
 
Mbona my wife ndio tabia zake hizo!!akiwa mjzito ndio tatizo,ila siku ukisema hata unasafiri utamuonea huruma,kama safar sio muhimu sana waweza ahirisha,samahan ndio silaha yake kuu,ananipenda sana ofcourse,sijawahi kufikiria kumcheat wife,njooni Tanga nawashauri.
Nahic mkeo umemuoa kabla ya mwaka 1990, ila baada ya hapo huwezi kumpata... Niko tayari kukosolewa
 
Walishaolewa mbona kwan ww hujabahatika kumpata wa aina hy?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom