KabisaHao ndio wengi,hata umlambe miguu,na ukikuta mwanamke yuko humble basi anapata janadume la hovyo hatari,ambalo halijui hata thamani ya mwanamke.
Hawatabiriki kama hali ya hewa,SAA yoyote kunaweza kunyeshaUmeona eeehh tena anaisoma namba kikubwa sio kitoto
Mbona my wife ndio tabia zake hizo!!akiwa mjzito ndio tatizo,ila siku ukisema hata unasafiri utamuonea huruma,kama safar sio muhimu sana waweza ahirisha,samahan ndio silaha yake kuu,ananipenda sana ofcourse,sijawahi kufikiria kumcheat wife,njooni Tanga nawashauri.

Looh! Tanga hii hii ama? Ya mdigo na Mbondei ?? Tanga njooni ila hayo makabila mawili mkifika muwe makini nayo
kweli!Huo ndio ukweli![]()
![]()
![]()
kweli!
Ha ha mie niliambiwa Tanga kuna wadada/ wamama wa ukweliHuo ndio ukweli
Off course wapo ila kwa makabila hayo na vigezo vya mtoa post ni sharti mwanaume uwe na senti senti za kutosha ndo utaiona raha vzrHa ha mie niliambiwa Tanga kuna wadada/ wamama wa ukweli
Hao wengi wao ni wa shida na raha! NawakubaliIla wasambaa wako poa?![]()
![]()
![]()
Ninae mkuu anaishi karatuHIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
.
.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.
Off course wapo ila kwa makabila hayo na vigezo vya mtoa post ni sharti mwanaume uwe na senti senti za kutosha ndo utaiona raha vzr

Mbona my wife ndio tabia zake hizo!!akiwa mjzito ndio tatizo,ila siku ukisema hata unasafiri utamuonea huruma,kama safar sio muhimu sana waweza ahirisha,samahan ndio silaha yake kuu,ananipenda sana ofcourse,sijawahi kufikiria kumcheat wife,njooni Tanga nawashauri.