Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,351
Chakufia nini? Hayo yote
We si manzi au? Nasma au?Mbona my wife ndio tabia zake hizo!!akiwa mjzito ndio tatizo,ila siku ukisema hata unasafiri utamuonea huruma,kama safar sio muhimu sana waweza ahirisha,samahan ndio silaha yake kuu,ananipenda sana ofcourse,sijawahi kufikiria kumcheat wife,njooni Tanga nawashauri.
Yupo bibi yangu,HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
.
.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.
Nadhani Pm yako mpk sa hivi imeshajazwa na wazee wa kukamata fursa.Mbona umetaja sifa zangu zote
100%And u may get surprised mwanaume anafanyiwa vyote hivyo lakini mwanamke anaisoma namba
buzi lisilochunika halitakiwi kwa hlo jina yatoshaHIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
.
.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.
Kwa hio kwa sasa umekua digitally generated au?Mimi nilishawahi kuwa hivyo kwa jamaa mmoja akanidharau, toka hapo nikaona nisije kutoka roho bure!
of course (lol)una prove kwamba you are not of such kind
kuna vipengele vingine hapo ngumu kuwa mmoja wao labda aedit lolMmmh.
Hata wewe!