Ndugu wana jamii foum kuna misemo ilyokuwa imeenea maeneo mengi toka kumalzika kwa uchaguzi wa 2010 ikidai kuwa CDM ni chama cha msimu. Sasa je nauliza msimu wake unaishia lini jamani ili CCM wapumue?
Mkuu unashangilia nini?

Naona anashangilia ngumi ya pua huyoMkuu unashangilia nini?
Mkuu unashangilia nini?
Wewe umekurupukia wapi?
Umepotoshwa kuhusu matokeo nini? maana makamanda wenzako wote wamekimbia, iweje wewe uwe na ujasili wa kuweka uzi humu?
Mkuu unashangilia nini?
walisema chadema ni chama cha mjini!halafu wakasema ni chama cha kaskazini!
Naona anashangilia ngumi ya pua huyo
Mkuu Ritz, hata Mimi namshamgaa kwani hakuna jipya kwenye hii thread yake. Hawa Machamdomo bana yaani wanakuja na Uzi hauna kichwa wala miguu mfano Mzuri km huu sielewi alitaka sema nini? Any way najua analipwa kwa kuandika utombo kimbia basi kinondoni kashike mshiko wako au wote wapo AR?
Paka chongo, jibu swali
Tumefiwa hatuna cha kushangilia.