Wako wapi waliosema chadema ni chama cha msimu?

DR. PHONE

JF-Expert Member
Nov 12, 2012
504
91
Ndugu wana jamii foum kuna misemo ilyokuwa imeenea maeneo mengi toka kumalzika kwa uchaguzi wa 2010 ikidai kuwa CDM ni chama cha msimu. Sasa je nauliza msimu wake unaishia lini jamani ili CCM wapumue?
 
Wewe umekurupukia wapi?

Umepotoshwa kuhusu matokeo nini? maana makamanda wenzako wote wamekimbia, iweje wewe uwe na ujasili wa kuweka uzi humu?
 
Mkuu unashangilia nini?

Wewe unauliza nini si ndo nyinyi mlikuwa mnaleta za kuleta semeni tena kama huo uwezo mnao ..byebye,tuliipenda ila Mungu kaipenda zaidi CCM yetu.
 
​Mmoja yuko UK na mwingine ndo huyo Mwigulu na Nape. Amesahau CCJ yake na sita wakamtosa mwenzao na kesi yake ya ubunge ndo hiyo inapigwa tarehe na Makongoro pamoja na kushikwa na mabox ya kura feki anaendelea kupeta tu
 
Mkuu unashangilia nini?

kwa cdm hakuna cha kupoteza,magamba ndo wanaopoteza. Na pia wako wapi waliosema magamba cio chama cha kigaidi. Angalia savimbi anavyolipua watu na midevu yake
 
Ndugu wana jamii foum kuna misemo ilyokuwa imeenea maeneo mengi toka kumalzika kwa uchaguzi wa 2010 ikidai kuwa CDM ni chama cha msimu. Sasa je nauliza msimu wake unaishia lini jamani ili CCM wapumue?

Mmojawapo ni JK. Aliwahi naye kutamka hivyo.
 
Wewe umekurupukia wapi?

Umepotoshwa kuhusu matokeo nini? maana makamanda wenzako wote wamekimbia, iweje wewe uwe na ujasili wa kuweka uzi humu?

Kama hamjamuelewa si mrudi kurisiri kama serikali yenu??? Hamjui namana mlivyokimbizwa maeneo mengi?Hamjuinkata mlizonyang'anywa? Nini watoto wa nje cup wa mwigulu vipi??? Hamjui idadi ya kura zilizoongezeka kwa chadema???hamjui mlivyokimbizwa a town hadi mnatuma polisi kuua watu ili muhairishe uchaguzi hadi 2015??? Hamjui kuwa mikutano yenu siku hizi hadi muwawekee viti wananchi na bado viti havijai??? Hamjui mwigulu antembea na kijana aliyebabuka usoni na kujidai ni chadema walimmwagia tindikali ili watu wampe kura za huruma???hamjui kuwa mmeshinda makuyuni kwa vurugu kubwa na kumpiga Joshua Nasari
 
Mkuu unashangilia nini?

Mkuu Ritz, hata Mimi namshamgaa kwani hakuna jipya kwenye hii thread yake. Hawa Machamdomo bana yaani wanakuja na Uzi hauna kichwa wala miguu mfano Mzuri km huu sielewi alitaka sema nini? Any way najua analipwa kwa kuandika utombo kimbia basi kinondoni kashike mshiko wako au wote wapo AR?
 
kati ya vyama vya msimu tulivyo navyo hapa Tnz, chdm, iondoe.kwani ndio chama pekee kinachomkimbiza mchakamchaka ccm,hata sasa ccm haijiamini,sisi tunaoishi vijjni ndio tunajua stuation iliopo na ilivyo kwa ccm,kila siku watu wanatupa kadi za ccm,wanachukua za chdm.
 
Hahahaaaa watahangaika sana....cdm haooo tunachukua nchi
 
Mkuu Ritz, hata Mimi namshamgaa kwani hakuna jipya kwenye hii thread yake. Hawa Machamdomo bana yaani wanakuja na Uzi hauna kichwa wala miguu mfano Mzuri km huu sielewi alitaka sema nini? Any way najua analipwa kwa kuandika utombo kimbia basi kinondoni kashike mshiko wako au wote wapo AR?

umaskin unakusumbua utakua mtumwa mpaka lin?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom