NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,097
RIPYuko wapi Misanya Bingi aliyekuwa mtangazaji Radio one Stereo?
RIPYuko wapi Misanya Bingi aliyekuwa mtangazaji Radio one Stereo?
Niliwahi kuwasikia clouds fm njia pandaWapo wapi wale waliojaribu kuteka ndege ya air Tanzania miaka ya 85?akina captain KISODA..
Nazani ashaumaliza mwendoYuko wapi jiwe?? (hili swali nimelileta in advance)