Wako wapi Branch na Tala?

Tatizo la hizi pesa zao wanakupa, ukitoa unakatwa tayari wameshapata faida, walitakiwa wakikupa ukitoa usikatwe,
Mkuu wanaokukata siyo wao ila ni mitandao ya simu kwani pesa unapewa kwenye simu yako. Mimi natumia tigo, so nikikopa kama 50 wanaituma 50 kama 50 then mambo ya tozo na makapo lukuki yanafata
 
Niliwahi kukopa 20,000 kutoka kwa hao jamaa sijui ni TALA au BRANCH nishasahau

Ila wao utaratibu wao kwenye kujisajili kuna kipengele cha kujipiga selfie na kutuma picha ya sura yako na kipengele cha kupiga picha kitambulisho chako cha utaifa na kuwatumia na namba zako za simu

Mpaka leo sijawalipa. Mwanzoni yule customer care wao alikuwa ananipigia hadi simu za kunitishia kuwa wana taarifa zangu zote wanaweza kunifuatilia na nitalipia gharama zote za usumbufu.

Nikajipa moyo kuwa liwalo na liwe baadaye wakaacha kunipigia. Nikafanikiwa kutowalipa
 
Hapo ulipo unajiona mjanja kudhulumu izo elfu ishirin!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Tala walipigiwa Bann ni baada ya kufahamika wana mtambo wa kukusanya taarifa za wateja pasipo kibali toka Mamlaka ya mawasiliano TCRA
Mbona most ya app za mikopo zinafanya hii inshu ya kukusanya taarifa unaweza kuta unadaiwa akapigiwa hata mzazi wako akaambiwa mwanao tunamudai
 
Back
Top Bottom